Bosi tatizo siyo bei shida ni kutokupewa 🧾 receipts maana yake huo ni mradi wa mtu hiyo hela ilipaswa itozwe kwa control number yaani wawe na efd mashine. Wanatuibia!Hizo elfu 2 nazo unaziona nyingi kununua maji business class?
Shida ya nyie vibarua waajiriwa serikalini mnaokatiwa tiketi na waajiri wenu na kupatiwa tiketi za business class wakati kihadhi mlitakiwa muwe economy ndio mnaleta huu upuuuzi
Unalalamikia maji ya elfu business class passenger loooooo
Business Class ni ya watu wenye pesa sio malofa vibarua serikalini Kama wewe
Siku ingine mwambie mwajiri wako akukatia ticket economy huko ndiko saizi yako
Huko kwenye business hakutendei haki
Mkuu hapa unatumia ubabe sasa. Treni zote zinaruhusu kubeba mizigo na sehemu za kuweka mizigo mikubwa zipo ila matumizi yake yamebadilishwa. Kwa hapa Tanzania hata yale mabegi ya "Shangazi kaja" yanaenea kwenye SGR_TZ iwe ni Express au Royal Express...... Unadhani kuna faida yoyote ya kutembeza EMU treni yenye mabehewa 9 ambayo hata hayajai huku ukizuia mizigo mikubwa?.... kwanza mizigo mikubwa inaamuliwa kuanzia kilo ngapi? Metric cubes ngapi?Wenye mizigo nendeni mkapande mabasi
Msilazimishe kwenye SGR
Wenye mizigo mingi na mikubwa wanapanda mabasi au treni ile ya kawaida sio SGR
Labda zile ordinary zinajaa, wiki chache zilizopita nilisafiri kwa Royal Express Dom-Dar mabehewa 9 viti vingi vilikuwa wazi.Sgr inajaa sasahivi?
hamna umuhimu wa wahudumu lundo! Kuwe na behewa la bar 👇👇👇! Unaenda unanunua! Pia kuwe vendor machines!Sasa kuna kitu kingine cha wizi. Eti upo business class halafu bia wanakuuzia. Yaani maji uliyopewa yakiisha unauziwa shs lefu mbili na ukitaka maji ya moto unaambiwa utoe elfu mbili na hawakupi receipts, yaani kwa ufupi mle ndani kuna mradi wa watu. Wahudumu acha wawepo ni vizuri ila utaratibu uwe mzuri
Lengo letu limebadilika baada ya reli kujengwa? Nadhani tuliambiwa kukamilika kwa treni kutapunguza mzigo mzito kwenye magari na mabasi unaopelekea kuharibika kwa barabara zetu mapema..... Kwa nini tunaanza kubadilisha gear juu kwa juu? 🤔Wenye mizigo nendeni mkapande mabasi
Msilazimishe kwenye SGR
Wenye mizigo mingi na mikubwa wanapanda mabasi au treni ile ya kawaida sio SGR
Hivi ndivyo inatakiwa kuwa, sijui wenzetu walitoa order ya namna gani isiyozingatia mizigo ya abiria. 🤔hamna umuhimu wa wahudumu lundo! Kuwe na behewa la bar 👇👇👇! Unaenda unanunua! Pia kuwe vendor machines!
halafu walienda nje kuona treni zinakaaje ila still wakaja na design za kijinga! Ila hizo behewa zinaweza kununliwa kwa kila treni ni behewa moja!Hivi ndivyo inatakiwa kuwa, sijui wenzetu walitoa order ya namna gani isiyozingatia mizigo ya abiria. 🤔
Halafu kuna kile kimbembe cha mabehewa ya ghorofa, najiuliza kama kweli walikuwa na mpango wa kuyanunua au walihamasishwa tu na wajasiriamali.halafu walienda nje kuona treni zinakaaje ila still wakaja na design za kijinga! Ila hizo behewa zinaweza kununliwa kwa kila treni ni behewa moja!
tathmini ya kina yahitajika. at least hiyo ordinary inajitahidi waikazanie sanaLabda zile ordinary zinajaa, wiki chache zilizopita nilisafiri kwa Royal Express Dom-Dar mabehewa 9 viti vingi vilikuwa wazi.
In most case ukikuta viti vipo wazi ujue kabisa mwenye ticket kachelewa au kaahirisha safari. Mimi imenitokea mara kibao nakata ticket napata dharula. So SGR muda mwingi inajaaLabda zile ordinary zinajaa, wiki chache zilizopita nilisafiri kwa Royal Express Dom-Dar mabehewa 9 viti vingi vilikuwa wazi.
Nimetolea mfano wa Royal Express ambayo kwenye behewa langu hatukuzidi watu kumi tena zingatia EMU ilikuwa na behewa 9 na kutanguliwa na Express kwa saa moja na vidakika.....Hii business inalipa kweli?In most case ukikuta viti vipo wazi ujue kabisa mwenye ticket kachelewa au kaahirisha safari. Mimi imenitokea mara kibao nakata ticket napata dharula. So SGR muda mwingi inajaa
Zinayoongelewa hapo ni treni za mizigo za SGR sio ya Abiria ya SGR kuwa waweza ingia na gunia lako la mchele!!Lengo letu limebadilika baada ya reli kujengwa? Nadhani tuliambiwa kukamilika kwa treni kutapunguza mzigo mzito kwenye magari na mabasi unaopelekea kuharibika kwa barabara zetu mapema..... Kwa nini tunaanza kubadilisha gear juu kwa juu? 🤔
Sahihi hata kwanguIn most case ukikuta viti vipo wazi ujue kabisa mwenye ticket kachelewa au kaahirisha safari. Mimi imenitokea mara kibao nakata ticket napata dharula. So SGR muda mwingi inajaa
Wapi uliona kuwa kuwa treni za SGR haziruhusiwi kubeba mzigo hata wa kilo mia? hata hizi za kwetu tungetoa order ya mabehewa kulingana na mahitaji yetu ingewezekana tu, hizo kilo mia si zinalipiwa au zinasafirishwa bure?Zinayoongelewa hapo ni treni za mizigo za SGR sio ya Abiria ya SGR kuwa waweza ingia na gunia lako la mchele!!
Halijabadilika lengo
Tatizo treni ya abilia haijawekwa kwa lengo la kubeba mizigo mikubwa swala sio kulipiaWapo uliona kuwa kuwa treni za SGR haziruhusiwi kubeba mzigo hata wa kilo mia? hata hizi za kwetu tungetoa order ya mabehewa kulingana na mahitaji yetu ingewezekana tu, hizo kilo mia si zinalipiwa au zinasafirishwa bure?
Mkuu naona umepokea tu kuwa treni za abiria hazibebi mizigo, kwa bahati mbaya sana waliopewa jukumu wamekuja na ubunifu huu wa ajabu wakati huko majuu ambako treni za namna ya hizi za kwetu tunazoringia hawaachi kitu. Mzigo kama hauwezi kuenea kwenye carrier ya juu, basi kwenye maungio kuna au eneo la choo upande mmoja inawekwa compartment kwa ajili ya mizigo mikubwa. Sijui hapa mshamba ni yupi ... huyu anayetembeza behewa lisilojaa na carrier tupu au huyo anayetaka kusafiri kwenye treni ya abiria akiwa na mizigo yake?Tatizo treni ya abilia haijawekwa kwa lengo la kubeba mizigo mikubwa swala sio kulipia
Watanzania tuelimike kuwa kipi kinatumika wapi na kipi wapi
Vitu vya kisasa hivi hatutakiwi kuendekeza ushamba
Hebu jielimishe hapa Jomba, naamini hata team Kadogosa nao watajifunza kitu:Tatizo treni ya abilia haijawekwa kwa lengo la kubeba mizigo mikubwa swala sio kulipia
Watanzania tuelimike kuwa kipi kinatumika wapi na kipi wapi
Vitu vya kisasa hivi hatutakiwi kuendekeza ushamba