Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
- Thread starter
- #21
Bosi tatizo siyo bei shida ni kutokupewa 🧾 receipts maana yake huo ni mradi wa mtu hiyo hela ilipaswa itozwe kwa control number yaani wawe na efd mashine. Wanatuibia!Hizo elfu 2 nazo unaziona nyingi kununua maji business class?
Shida ya nyie vibarua waajiriwa serikalini mnaokatiwa tiketi na waajiri wenu na kupatiwa tiketi za business class wakati kihadhi mlitakiwa muwe economy ndio mnaleta huu upuuuzi
Unalalamikia maji ya elfu business class passenger loooooo
Business Class ni ya watu wenye pesa sio malofa vibarua serikalini Kama wewe
Siku ingine mwambie mwajiri wako akukatia ticket economy huko ndiko saizi yako
Huko kwenye business hakutendei haki
