SGR wanaibia wateja kwenye uzito wa mabegi

Kuna mwana ccm nimekutana nae kanionyesha kadi ya ccm ile ya digitali akiniambia sifa mojawapo inawasaidia kupanda SGR
 
leo baada ya mechi za uefa nitapitia online ticketing system niangalie hali ya treni la kwanza la saa 12 asubuhi lipoje
Usisahau kulete mrejesho
 
tunaweza ila tunapenda kuish maisha ya shida kisa kuogopa virungu , tukiungana kwa sauti moja , hawa wanaeza rekebisha ila ipo mijinga uccmu upo damuni
 
Tatizo treni ya abilia haijawekwa kwa lengo la kubeba mizigo mikubwa swala sio kulipia

Watanzania tuelimike kuwa kipi kinatumika wapi na kipi wapi

Vitu vya kisasa hivi hatutakiwi kuendekeza ushamba
punguza uccmu , unatetea ujinga , sion hoja yako zaid ya kuonesha ubishi wako tu
 
hadi muda huu saa 6 na 35 dk usiku , kuanzia behewa la 5 mpaka la 13 siti za kutosha zipo wazi. na chuma ni ya saa 12 asubuhi DAR-DOM (5-march-2025).
Nimeangalia sasa hivi saa 10:28 alfajiri seats zaidi ya 400 bado ziko wazi. Ile SGR Ordinary ya saa 3:30 asibuhi imeshajaa (No seats available)
 
Reactions: Lax
Wenye mizigo nendeni mkapande mabasi
Msilazimishe kwenye SGR

Wenye mizigo mingi na mikubwa wanapanda mabasi au treni ile ya kawaida sio SGR
Washamba wamo pia, hiyo ni treni ya kawaida sana tu tofauti ni kasi tu ambayo hata mabasi yangeweza kuifikia.
 
Bado ni ujinga. Inakuwaje ndege niruhusiwe kubeba 46 kg na train iwe 30 kg??
Unajua mizigo ya ndege inapowekwa? Kwenye cabin unapanda na 10kg tu wakati hio treni kwenye cabin ndio unapanda na hizo kg unazoruhusiwa.
Kama una mizigo mingi panda bus epuka kulipa hela nyingi kwenye treni.
 
hadi muda huu saa 6 na 35 dk usiku , kuanzia behewa la 5 mpaka la 13 siti za kutosha zipo wazi. na chuma ni ya saa 12 asubuhi DAR-DOM (5-march-2025).
Hio ni mchongoko ya 120,000/- tuliwaambia kwa bei hio itaenda tupu sana. Gharama za hio zinabebwa na ordinary service.
Lakini hii ina behewa 8 tu.
 
Reactions: Lax
Unajua mizigo ya ndege inapowekwa? Kwenye cabin unapanda na 10kg tu wakati hio treni kwenye cabin ndio unapanda na hizo kg unazoruhusiwa.
Kama una mizigo mingi panda bus epuka kulipa hela nyingi kwenye treni.
Ndiyo nitozwe 4,000 per kg??? Kwanini bei hawoneshi kwenye ticket?
 
hii ordinary ya DAR -DOM ya saa 1 jioni naona imependeza ziketi wameuza zilizobaki ni 17 muda huu ni saa 12 na robo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…