Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu jielimishe hapa Jomba, naamini hata team Kadogosa nao watajifunza kitu:
View: https://youtu.be/c9Cn0msEp1M?si=rwjVc0eW4nom0JHB
hadi muda huu saa 6 na 35 dk usiku , kuanzia behewa la 5 mpaka la 13 siti za kutosha zipo wazi. na chuma ni ya saa 12 asubuhi DAR-DOM (5-march-2025).Usisahau kulete mrejesho
tunaweza ila tunapenda kuish maisha ya shida kisa kuogopa virungu , tukiungana kwa sauti moja , hawa wanaeza rekebisha ila ipo mijinga uccmu upo damuniNa hapa bado watakuja wale walalamishi watasema ni effect za Ukoloni😂😂😂😂
Ifike mahali tuwapumzishe wakoloni.Sisi waafrika hatuweziiiiiii,,,,,hatuweziiiii,,,acheni kupoteza muda!!!!!
Mimi nitaendelea kuwashukuru wakoloni.Kiasi kwamba ikiwawia radhi warudi tu.Waliwahi sana kutupa uhuru. 60yrs plus tumeprove we didnt deserve it.Tumebaki bado tunawalaumu kama ni waafrika pekee duniani waliotawaliwa.
Hii treni ikifika 2030 bado inapumua nawaagiza MODS wafunge account yangu ya JF🤝
punguza uccmu , unatetea ujinga , sion hoja yako zaid ya kuonesha ubishi wako tuTatizo treni ya abilia haijawekwa kwa lengo la kubeba mizigo mikubwa swala sio kulipia
Watanzania tuelimike kuwa kipi kinatumika wapi na kipi wapi
Vitu vya kisasa hivi hatutakiwi kuendekeza ushamba
Nimeangalia sasa hivi saa 10:28 alfajiri seats zaidi ya 400 bado ziko wazi. Ile SGR Ordinary ya saa 3:30 asibuhi imeshajaa (No seats available)hadi muda huu saa 6 na 35 dk usiku , kuanzia behewa la 5 mpaka la 13 siti za kutosha zipo wazi. na chuma ni ya saa 12 asubuhi DAR-DOM (5-march-2025).
HAtari hiiNimeangalia sasa hivi saa 10:28 alfajiri seats zaidi ya 400 bado ziko wazi. Ile SGR Ordinary ya saa 3:30 asibuhi imeshajaa (No seats available)
Washamba wamo pia, hiyo ni treni ya kawaida sana tu tofauti ni kasi tu ambayo hata mabasi yangeweza kuifikia.Wenye mizigo nendeni mkapande mabasi
Msilazimishe kwenye SGR
Wenye mizigo mingi na mikubwa wanapanda mabasi au treni ile ya kawaida sio SGR
Unajua mizigo ya ndege inapowekwa? Kwenye cabin unapanda na 10kg tu wakati hio treni kwenye cabin ndio unapanda na hizo kg unazoruhusiwa.Bado ni ujinga. Inakuwaje ndege niruhusiwe kubeba 46 kg na train iwe 30 kg??
Hio ni mchongoko ya 120,000/- tuliwaambia kwa bei hio itaenda tupu sana. Gharama za hio zinabebwa na ordinary service.hadi muda huu saa 6 na 35 dk usiku , kuanzia behewa la 5 mpaka la 13 siti za kutosha zipo wazi. na chuma ni ya saa 12 asubuhi DAR-DOM (5-march-2025).
Ndiyo nitozwe 4,000 per kg??? Kwanini bei hawoneshi kwenye ticket?Unajua mizigo ya ndege inapowekwa? Kwenye cabin unapanda na 10kg tu wakati hio treni kwenye cabin ndio unapanda na hizo kg unazoruhusiwa.
Kama una mizigo mingi panda bus epuka kulipa hela nyingi kwenye treni.