SGR war: Who's winning Congo between Rwandese and Kenyan SGR? Nani ni nani?

Rukavu ni bukavu??????
 
Tanzania inatakiwa ikonekt na kigoma au kasanga port sumbawanga ili mizigo ifike kalemie port ambayo ita connect rahisi kwenda lubumbashi (mji wa pili drc) kwani ndiyo kwenye mizigo mingi hasa machimbo.uko bukavu kuna dead end connection tutapatatabu sana kwani congo kubadilika siyo leo hasa mentality zao kila behewa linaloenda lubumbashi toka kapili mposhi kurudisha hawataki ndiyo maana wazambia hawapeleki behewa lubumbadhi wanaishia kapili tu.Kwasasa wacongo ni kigoma au kasanga ndiyo best option
 
Kwenye hayo maeneo ya mipakani ni kutengeneza dry ports ICDs kwenye nchi wanazopakana nazo sio lazima kupitisha trains moja kwa moja mpaka Congo, wawe wanatumia malori kutoka Congo mpaka kwenye hizo ICDs then mzigo unaingia kwenye train 120kph upo Dar siku moja haiishi.

So watatumia muda mfupi zaidi, wakishaona wamesogezewa reli mipakani automatically lazima watataka kutap
 
kuna section ya kwenda Mpanda yaani mpaka Lake Tanganyika pia! acheni ujuaji huu mradi unaangalia strategy pia na kama mtu ni good analyst anaweza kuona why Isaka-Kigali route should come first! Its about offering the best alternative to clients while putting a competitor of the same clients at a disadvantage!
 
Geza ulole ujuaji wangu nini??we umefika izo sehemu au ??mimi nimefika na hata unakosema njia ya zambia wanataka kujenga nakujua boss.from tunduma to lubumbashi ni 1150kms so they want to reduce distance not to pass through copperbelt province but luapula province (mansa) to a place called kashiba which a boarder ya maji na lubumbashi kwani kuna mto mkubwa called river luapula ,njia hii wata reduce like 600kms kuingia lubumbashi
 


Ujuaji wako ni kwamba hujui hata mipango! mnalazimishia Kigoma ambayo tayari ina reli inayofanya kazi! kwahiyo tuache fursa ya kuiunganisha Rwanda iliyo na uongozi wenye interest zaidi tuende kuibembeleza Burundi kisa Zitto kalalama!

 
Kasanga port iko connected tayari na barabara mpya ya lami toka Sumbawanga mjini.
 
Kasanga port iko connected tayari na barabara mpya ya lami toka Sumbawanga mjini.
mshikaji hata hajui kisa Zitto na matango yake pori! mchina mwenyewe kagoma ku-finance Kenya's SGR 2B kuangalia kama italipa yani ina economic sense! Yaani kwa jisni Rwanda walivyo hawaelewani reli ikipita Burundi kwanza halafu iende Rwanda usahau na matumizi ya Rwanda Dar port!
 
Ujuaji wako ni kwamba hujui hata mipango! mnalazimisgia Kigoma ambayo tayari ina reli inayofanya kazi! kwahiyo tuache fursa ya kuiunganisha Rwanda iliyo na uongozi wenye interest zaidi tuende kuibembeleza Burundi kisa Zitto kalalama!

No silazimishi kigoma bro .ingekuwa siyo lake tanganyika tungewaunga na reli kalemie ambayo ina mtandao mpaka lubumbashi ,manyema hadi kasai province na kwa taharifa yako mzigo wa rwanda plus eastern congo haufikii mzigo walubumbashi.
 
No silazimishi kigoma bro .ingekuwa siyo lake tanganyika tungewaunga na reli kalemie ambayo ina mtandao mpaka lubumbashi ,manyema hadi kasai province na kwa taharifa yako mzigo wa rwanda plus eastern congo haufikii mzigo walubumbashi.
fedha zote kufanya hivyo kwa wakati mmoja haipo! Hicho kipande cha Mpanda ndo kitakuja mpaka ziwa Tanganyika! tena karibu zaidi na Kalemi!

Kwa ramani iliyo Burundi anapewa nafasi yake pia kujiunga akiwa tayari! tena si lazima aunganishie Keiza anaweza kwenda straight Isaka! au hata Kaliua

 
Shida hatuna boarder ya land na drc just water na ndiyo big custoner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…