SGR war: Who's winning Congo between Rwandese and Kenyan SGR? Nani ni nani?

Woga wangu uliokuwepo sasa unazidi kudhihirika, kuna nchi moja uchumi wake utasambaratika kama haitoungana na uncle Magu. "If you can't fight them, ................"
If Kenya is to collapse, it can only be destroyed by Kenyans, not TZ or any of our neighbors.get those dreams out of your mind
 
Ni kweli lakini pamoja na hivyo bado kuna mradi mkubwa sana wa barabara kati ya Congo na Zambia huo lengo lake ni kufika Dar port ujue Congo ni ligiant sana peke yetu hatuwezi kumfaidi lazima tuwe na wapambe ambao ndio kama Rwanda, Zambia cha muhimu ni bandari yetu itumike

Pale kigoma mizigo itavushwa kwa meli hata zamani ilikua hivyo na ni mzigo wa maana ulikua ukivushwa, nafikiri kuna wakandarasi wa bandari wapo site
Ukweli Congo ni likubwa mno tukiwa na akili za kinyang'au kutaka tupate wenyewe tutaishia kutengwa kama jamaa zetu. Ushawishi wa Tz ni mkubwa tayari imagine sasa kama tutakuwa na reli mpaka Congo via Rw na kuchepuka Kigoma to Burundi na nyingine to UG plus bomba la mafuta. Na hizo train za mizigo zote zitamilikiwa na Tz na umeme kwa njia nzima utatoka Tz tuta wakata charges tu. Sasa hapo Tz akisema rukeni juu wao watakua wana uliza how high!? [emoji1]

Hili swala lina enda sambamba na sera ya viwanda, wawekezaji lazima waje kuwekeza kwenye nchi yenye ushawishi, low costs, superior infrustructure na bandari salama. Yajayo yanafurahisha
 
Nyinyi Watanzania ni wanoma sana yani in 2months mshafika 47% kutoka 22% yani ni kama kuchimba mtaro wa maji. Mbachekesha Kweli sasa sijui Nani kwenye ujasiri kati yenyu nyote mnaichangia hapa atupe aerial view Photos za Hii SGR Tanzania, kwani Kazi ya drones ni ipi badala ya kupiga Picha kwa corners alafu zinapistiwa hapa eti "47%" done....Drone photos or it never happened.
Mwasiti... kwa uchungu huu! usikae mbali na mkunga! Hopefully it will be a baby girl ili akufanane
 
Ukweli Congo ni likubwa mno tukiwa na akili za kinyang'au kutaka tupate wenyewe tutaishia kutengwa kama jamaa zetu. Ushawishi wa Tz ni mkubwa tayari imagine sasa kama tutakuwa na reli mpaka Congo via Rw na kuchepuka Kigoma to Burundi na nyingine to UG plus bomba la mafuta. Na hizo train za mizigo zote zitamilikiwa na Tz na umeme kwa njia nzima utatoka Tz tuta wakata charges tu. Sasa hapo Tz akisema rukeni juu wao watakua wana uliza how high!? [emoji1]

Hili swala lina enda sambamba na sera ya viwanda, wawekezaji lazima waje kuwekeza kwenye nchi yenye ushawishi, low costs, superior infrustructure na bandari salama. Yajayo yanafurahisha
Congo ni kubwa just imagine, two different time zones in one country wengine wanasema saa saba wengine saa tisa, yeah cha muhimu ni kushirikiana wote sababu landlocked always need ports lakini afforded and easy accessible.

Na kama hapo kwenye kutumia geographical economy tulizubaa kimtindo saivi anaejua thamani ya geopolitics kakamata usukani, na yote haya anayafahamu, JPM sio mjinga kutaka reli ya umeme japo alionekana kituko na wengi na hapo hapo kutaka cheap 2115 megawatts, anajua nini anafanya lazima equations zitabalance tu mwisho wa siku
 
Ukweli Congo ni likubwa mno tukiwa na akili za kinyang'au kutaka tupate wenyewe tutaishia kutengwa kama jamaa zetu. Ushawishi wa Tz ni mkubwa tayari imagine sasa kama tutakuwa na reli mpaka Congo via Rw na kuchepuka Kigoma to Burundi na nyingine to UG plus bomba la mafuta. Na hizo train za mizigo zote zitamilikiwa na Tz na umeme kwa njia nzima utatoka Tz tuta wakata charges tu. Sasa hapo Tz akisema rukeni juu wao watakua wana uliza how high!? [emoji1]

Hili swala lina enda sambamba na sera ya viwanda, wawekezaji lazima waje kuwekeza kwenye nchi yenye ushawishi, low costs, superior infrustructure na bandari salama. Yajayo yanafurahisha
Huwa nikimsikiliza JPM akisema " munachelewa muno na tumechezewa sana" huwa naipata picha ya malengo yake makubwa sana juu ya Tanzania. Anatamani hata tupae tufike huko. Ndo maana hawa jamaa wa ushoga hawampendi kabisa.
 
Sisi Tanzania AfDB walishatuambia tuharakishe mikakati na Rwanda tukiwa tayari waanze kumwaga pesa na kama inavyojulikana kutoka Dodoma mpaka Rusumo ni kuteleza tu hakuna complicated terrains zozote kama Morogoro-Makutupora, kutoka Dodoma mpaka Mwanza train itachomoka kwa zaidi ya 200kph

200kph kobe huyo au train??, wenzetu leo 2018 wapo kwenye 400kph. Huo mnatuletea utani .
 
Sisi Tanzania AfDB walishatuambia tuharakishe mikakati na Rwanda tukiwa tayari waanze kumwaga pesa na kama inavyojulikana kutoka Dodoma mpaka Rusumo ni kuteleza tu hakuna complicated terrains zozote kama Morogoro-Makutupora, kutoka Dodoma mpaka Mwanza train itachomoka kwa zaidi ya 200kph
Mkuu Makutupora hii ya SGR iko mkoa wa Singida, sio ile ya JKT iliyoko mkoa wa Dodoma.
 
Mwasiti... kwa uchungu huu! usikae mbali na mkunga! Hopefully it will be a baby girl ili akufanane
Weka Picha za juu yani from a drone ama ndege kyonyesha Hio 47% SGR na kama huna Juma ni propaganda ya Serikali iliyoshindwa kazini.
 
Back
Top Bottom