Ukweli Congo ni likubwa mno tukiwa na akili za kinyang'au kutaka tupate wenyewe tutaishia kutengwa kama jamaa zetu. Ushawishi wa Tz ni mkubwa tayari imagine sasa kama tutakuwa na reli mpaka Congo via Rw na kuchepuka Kigoma to Burundi na nyingine to UG plus bomba la mafuta. Na hizo train za mizigo zote zitamilikiwa na Tz na umeme kwa njia nzima utatoka Tz tuta wakata charges tu. Sasa hapo Tz akisema rukeni juu wao watakua wana uliza how high!? [emoji1]
Hili swala lina enda sambamba na sera ya viwanda, wawekezaji lazima waje kuwekeza kwenye nchi yenye ushawishi, low costs, superior infrustructure na bandari salama. Yajayo yanafurahisha