SGR war: Who's winning Congo between Rwandese and Kenyan SGR? Nani ni nani?

Zamani nilikuwa napea Rwanda heshima sana hadi ile siku niligundua Rwanda is a 10 billion dollar economy. Tangu hio siku nikajua Rwanda ni an empty debe making alot of noise.
 
Zamani nilikuwa napea Rwanda heshima sana hadi ile siku niligundua Rwanda is a 10 billion dollar economy. Tangu hio siku nikajua Rwanda ni an empty debe making alot of noise.

Nyangau, Rwandan population is only 10m.
 
Zamani nilikuwa napea Rwanda heshima sana hadi ile siku niligundua Rwanda is a 10 billion dollar economy. Tangu hio siku nikajua Rwanda ni an empty debe making alot of noise.
Wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana, na hili ndilo linalosababisha Kenya kuzidi kurudi nyuma. What is the economy of Mauritius, Seychelles, Botswana, and Namibia?, unganisha GDP za nchi zote hizi haziwezi kufikia hata GDP ya Uganda.

Hivi mnajua maana na matumizi ya GDP katika kupima uchumi wa nchi?.

Ethiopia pamoja na GDP kubwa, lakini wananchi wake wanakufa kwenye containers wakijaribu kukimbia nchi, Kenya pamoja na GDP kubwa lakini hakuna basics needs kama chakula, MAJI, security, shelters na employment.
 
Kenya SGR imekwama..Minister for transport in september went to china to beg for loan for Naivasha-Kisumu. Chinese told him that the project is not viable and he should submit a viability report in 2 weeks time..
No one knows wherether the new feasibility was done or what the chinese said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…