SGR ya China kuingiza $.4.36 Bilioni mwaka 2018, halafu sisi tupo tu tunasema siyo kipaumbele

Nilifikiri unazungumzia SGR yetu kumbe ya China, zungumzia serikali ya Magufuli ya akina Mpango, mipango mingi revenue kiduchu,

Tuambie gesi ya Mtwara mliyokuwa mnaisifia leo inaingiza kiasi gani, mlituambia Kinyerezi I & II zikikamilika tatizo la umeme litakuwa historia, kadanganye wasioijua Tanzania.
 
Tangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?
 
CCM hamna akili
China ina watu zaidi ya Mara 30 ya Watanzania wote..
China GDP yao ni Trillion Dollars

Middle income ni kubwa

SGR ya Tz haiwezi tengeneza faida maana ina mkopo...

Itakuja Break Even baada ya miaka 30
 
Unalinganishaje high speed railway na standard gauge railway? au unalinganishaje busiest route na route zenu za dar mwanza za mara mbili kwa wiki?
 
Beijing: Population 21.7 million, GDP per Capita 37,700 USD
Shanghai: Population 24.18 million GDP Per Capita 36500 USD
Dar es salaam: Population 6 million GDP Per Capita 1000 USD
Mwanza: Population 1 million GDP Per Capita 1000 USD
Kigali: Population 1.3 million GDP Per Capita 770 USD
 
Tangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?
Hapa nilipo ni zaidi ya mwezi umeme unkatwa kila siku zaidi ya masaa kumi
 
Watanzania ni wajinga sana, Mimi nawashangaa sana wanaosema SGR siyo kipaumbele chetu, Hawa madawa, hiyo elimu bure, hayo maji yanakuja bure? JPM.asongen.mbele, tuko naye.began kwa bega .
 
Umeme bado sana sekta ya kilimo bado sana Elimu ndio usiseme Afya ndio hovyoo Maji wanakunywa tope halafu badala ya kuanza na hayo ambayo wenzako China walishayamaliza ndio wakawaza SGR.
 
Tangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?
Mkuu hata sasa nilipo umeme hakuna ubungo terminal imekorofisha wiki sasa umeme wa mgao.
 
Ifike hatua uwe unathamini ulichonacho.
Design yako Kama ni mwanamke
huwa mnagongwa hata na mahauseboy
kwa ajili ya kuona Cha majirani ni Bora kuliko chenu
 
Hapa nilipo ni zaidi ya mwezi umeme unkatwa kila siku zaidi ya masaa kumi
Utapataje umeme kama haujafanya wiring ndni kwako? Unataka umeme blootooth? Mwaka huu sehemu yoyote yenye umeme haujatakatika zaidi ya Mara 2, Mimi Niko TANESCO, muwe Monaghan propaganda za kipuuzi kiasi hicho.
 
Bora hata mtu wa TANESCO umesaidiia kuukomesha upotoshaji huu unaofanywa kwa makusudi makubwa
 
jana waziri wako wa lumumba amefukuza wakurugenzi wawili wa TANESCROW kwa kukatika umeme kila mara...
nyammmbaffff wewe huyo aliyekuwowa alikuwa bwiiiiiiii ndo mana akaangukia kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…