TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?Nilifikiri unazungumzia SGR yetu kumbe ya China, zungumzia serikali ya Magufuli ya akina Mpango, mipango mingi revenue kiduchu,
Tuambie gesi ya Mtwara mliyokuwa mnaisifia leo inaingiza kiasi gani, mlituambia Kinyerezi I & II zikikamilika tatizo la umeme litakuwa historia, kadanganye wasioijua Tanzania.
Hapa nilipo ni zaidi ya mwezi umeme unkatwa kila siku zaidi ya masaa kumiTangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?
ndugu yangu kwa haraka haraka umeshindwa hata kuangalia population ya China na yetu?
Mkuu hata sasa nilipo umeme hakuna ubungo terminal imekorofisha wiki sasa umeme wa mgao.Tangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?
Ifike hatua uwe unathamini ulichonacho.Nilifikiri unazungumzia SGR yetu kumbe ya China, zungumzia serikali ya Magufuli ya akina Mpango, mipango mingi revenue kiduchu,
Tuambie gesi ya Mtwara mliyokuwa mnaisifia leo inaingiza kiasi gani, mlituambia Kinyerezi I & II zikikamilika tatizo la umeme litakuwa historia, kadanganye wasioijua Tanzania.
Utapataje umeme kama haujafanya wiring ndni kwako? Unataka umeme blootooth? Mwaka huu sehemu yoyote yenye umeme haujatakatika zaidi ya Mara 2, Mimi Niko TANESCO, muwe Monaghan propaganda za kipuuzi kiasi hicho.Hapa nilipo ni zaidi ya mwezi umeme unkatwa kila siku zaidi ya masaa kumi
Hiyo itakuwa Ubungo ya Kenya siyo TanzaniaMkuu hata sasa nilipo umeme hakuna ubungo terminal imekorofisha wiki sasa umeme wa mgao.
Bora hata mtu wa TANESCO umesaidiia kuukomesha upotoshaji huu unaofanywa kwa makusudi makubwaUtapataje umeme kama haujafanya wiring ndni kwako? Unataka umeme blootooth? Mwaka huu sehemu yoyote yenye umeme haujatakatika zaidi ya Mara 2, Mimi Niko TANESCO, muwe Monaghan propaganda za kipuuzi kiasi hicho.
wewe LUKU itakuwa imeisha, unataka uingiziwe?Mkuu hata sasa nilipo umeme hakuna ubungo terminal imekorofisha wiki sasa umeme wa mgao.
Hiyo kazi ya MASHOGA, Mwanaume siyo sifa nzuri hata kidogoKipaumbele chetu kula bata
Nilifikiri umekuja na hoja tujadili, kwa heri.wewe LUKU itakuwa imeisha, unataka uingiziwe?