NAONA NDIO UMEINGIA SHIFT YAKO.... unatoka sangapi nikupitie nikakupe upako
Utapataje umeme kama haujafanya wiring ndni kwako? Unataka umeme blootooth? Mwaka huu sehemu yoyote yenye umeme haujatakatika zaidi ya Mara 2, Mimi Niko TANESCO, muwe Monaghan propaganda za kipuuzi kiasi hicho.
Hahahah econ9my ya pili duniani unafananisha na econ9my ya 91, jipe matumaini
Kwaiyo Mh Z hana Ma***nda.....?!!!!!!!!😳😳😳😳😳😳Hiyo kazi ya MASHOGA, Mwanaume siyo sifa nzuri hata kidogo
Kwetu unakata sana..sijui gas au maji au nini tatizoTangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?
Umeemuliza na kumuelimisha vitu vigumu zaidi ya uwezo wa akili yake......CCM hamna akili
China ina watu zaidi ya Mara 30 ya Watanzania wote..
China GDP yao ni Trillion Dollars
Middle income ni kubwa
SGR ya Tz haiwezi tengeneza faida maana ina mkopo...
Itakuja Break Even baada ya miaka 30
Mkuu tatizo matumizi ya mke.Ifike hatua uwe unathamini ulichonacho.
Design yako Kama ni mwanamke
huwa mnagongwa hata na mahauseboy
kwa ajili ya kuona Cha majirani ni Bora kuliko chenu
Tangu mnunue Bombardier na Dreamliner mmeshaleta watalii wangapi? Hata wa kutoka huko China mnakofikiri ndo kuna wajomba na shangazi zenu huko?Watanzania ni wajinga sana, Mimi nawashangaa sana wanaosema SGR siyo kipaumbele chetu, Hawa madawa, hiyo elimu bure, hayo maji yanakuja bure? JPM.asongen.mbele, tuko naye.began kwa bega .
Tangu mmeleta yale mapangaboi yenu, mmeingiza "dola" billioni ngapi?
Mwongo mkubwa na ibilisi wewe umeme hapa nilipo unakatika kutwa nzima. Na tumelala juzi hapa bila umeme halafu ibilisi wewe unakuja kudanganya hapa mbona mnaifanya serikali iwe ya uongo uongo kila mara? Upo tanesco gani wewe muongo mkubwaUtapataje umeme kama haujafanya wiring ndni kwako? Unataka umeme blootooth? Mwaka huu sehemu yoyote yenye umeme haujatakatika zaidi ya Mara 2, Mimi Niko TANESCO, muwe Monaghan propaganda za kipuuzi kiasi hicho.
Hata Mbuyu ulianza kama MchichaHahahah economy ya pili duniani unafananisha na
Hahahah econ9my ya pili duniani unafananisha na econ9my ya 91, jipe matumaini
ulipo wapi? nunua Luku acha kuendekeza njaaMwongo mkubwa na ibilisi wewe umeme hapa nilipo unakatika kutwa nzima. Na tumelala juzi hapa bila umeme halafu ibilisi wewe unakuja kudanganya hapa mbona mnaifanya serikali iwe ya uongo uongo kila mara? Upo tanesco gani wewe muongo mkubwa
Mjinga yeyote huwa na majibu mepesi kwenye maswali magumuulipo wapi? nunua Luku acha kuendekeza njaa
My friend miaka 53 toka uhuru huo mchicha ungekuwa gogo, full mark time mbele hakuna kuenda, fikiria kuwa malaysia mwaka 1961 ilikuwa maskini kuliko tanzania, nenda malaysia leo, same south korea, botswana kilichobadilika ni mdomo, watu wanauchonga kusifiaHata Mbuyu ulianza kama Mchicha
Huyo jamaa hata mm nimemshangaaa yaan anaongea uongo hapa kkoo tu umeme unakatika kwa wiki hats Mara tano au NNE ila yy haoni.Mwongo mkubwa na ibilisi wewe umeme hapa nilipo unakatika kutwa nzima. Na tumelala juzi hapa bila umeme halafu ibilisi wewe unakuja kudanganya hapa mbona mnaifanya serikali iwe ya uongo uongo kila mara? Upo tanesco gani wewe muongo mkubwa
dah we jamaa akili yako ni kama hilo jeneza...unajua hata asilimia 5% ya bomba lagesi hatulitumii af mbaya zaidi matrilioni wananchi tunaanza lipa..nani kwanza kakwambia umeme tunaotumia wote ni wagesiTangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?
Tangu mnunue Bombardier na Dreamliner mmeshaleta watalii wangapi? Hata wa kutoka huko China mnakofikiri ndo kuna wajomba na shangazi zenu huko?
Kwenye biashara ya ndege huwezi ukasema kuwa umepata faida kwa kipindi kifupi kama hiki. Jamani acheni siasa fanyeni utafiti ya mambo haya kwa kuangalia mashirika mengine imechukuwa muda gani kupata faida.Umeemuliza na kumuelimisha vitu vigumu zaidi ya uwezo wa akili yake......
-Muulize tuu toka wamenunua zile ndege wamepata faida kiasi gani??? Akikujib nitag [emoji42][emoji42][emoji42]
Graph ya mapato inazidi kupaa?? Hebu weka data acha longolongo mkuu haya ni maneno yakoKwenye biashara ya ndege huwezi ukasema kuwa umepata faida kwa kipindi kifupi kama hiki. Jamani acheni siasa fanyeni utafiti ya mambo haya kwa kuangalia mashirika mengine imechukuwa muda gani kupata faida.
Kwa sasa sitakosea nikisema kuwa ATC inachukuwa asilimia 40-60 ya soko la ndani. Graph ya mapato inazidi kupaa. Kinachowachelewesha kwenda kimataifa ni hayo mausala ya IATA ambayo nayo yanakaribia kufika ukingoni.