SGR ya China kuingiza $.4.36 Bilioni mwaka 2018, halafu sisi tupo tu tunasema siyo kipaumbele

Utapataje umeme kama haujafanya wiring ndni kwako? Unataka umeme blootooth? Mwaka huu sehemu yoyote yenye umeme haujatakatika zaidi ya Mara 2, Mimi Niko TANESCO, muwe Monaghan propaganda za kipuuzi kiasi hicho.

Mkuu ni kweli kwa sasa kuna aina ya mgao wa umeme japo inaweza kuwa inasababishwa na matengenezo au kitu kingine.

Nnachotaka kusema ni kwamba, tatizo la kukatika kwa umeme limepungua kwa kiwango kikubwa sana.

Umeme wa uhakika ni chachu ya maendeleo endelevu.

Tujifunze kupongeza panapostahili na kukosoa kwa staha kama kuna ulazima.
 
Hizi comparison ndo hazitakiwi, utapata mrejesho hasi utashangaa. China, kwa vigezo vyote vile wako mbali mno na hizo faida imegawanyika katika sekta mbalimbali kwa kuwa tu...treni ipo.

Tujipange na ya kwetu tuone ni kwa jinsi gani itaweza kuleta hayo 'mabilioni'!
 
CCM hamna akili
China ina watu zaidi ya Mara 30 ya Watanzania wote..
China GDP yao ni Trillion Dollars

Middle income ni kubwa

SGR ya Tz haiwezi tengeneza faida maana ina mkopo...

Itakuja Break Even baada ya miaka 30
Umeemuliza na kumuelimisha vitu vigumu zaidi ya uwezo wa akili yake......
-Muulize tuu toka wamenunua zile ndege wamepata faida kiasi gani??? Akikujib nitag [emoji42][emoji42][emoji42]
 
Watanzania ni wajinga sana, Mimi nawashangaa sana wanaosema SGR siyo kipaumbele chetu, Hawa madawa, hiyo elimu bure, hayo maji yanakuja bure? JPM.asongen.mbele, tuko naye.began kwa bega .
Tangu mnunue Bombardier na Dreamliner mmeshaleta watalii wangapi? Hata wa kutoka huko China mnakofikiri ndo kuna wajomba na shangazi zenu huko?
 
Utapataje umeme kama haujafanya wiring ndni kwako? Unataka umeme blootooth? Mwaka huu sehemu yoyote yenye umeme haujatakatika zaidi ya Mara 2, Mimi Niko TANESCO, muwe Monaghan propaganda za kipuuzi kiasi hicho.
Mwongo mkubwa na ibilisi wewe umeme hapa nilipo unakatika kutwa nzima. Na tumelala juzi hapa bila umeme halafu ibilisi wewe unakuja kudanganya hapa mbona mnaifanya serikali iwe ya uongo uongo kila mara? Upo tanesco gani wewe muongo mkubwa
 
ulipo wapi? nunua Luku acha kuendekeza njaa
 
Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha
My friend miaka 53 toka uhuru huo mchicha ungekuwa gogo, full mark time mbele hakuna kuenda, fikiria kuwa malaysia mwaka 1961 ilikuwa maskini kuliko tanzania, nenda malaysia leo, same south korea, botswana kilichobadilika ni mdomo, watu wanauchonga kusifia
 
Mwongo mkubwa na ibilisi wewe umeme hapa nilipo unakatika kutwa nzima. Na tumelala juzi hapa bila umeme halafu ibilisi wewe unakuja kudanganya hapa mbona mnaifanya serikali iwe ya uongo uongo kila mara? Upo tanesco gani wewe muongo mkubwa
Huyo jamaa hata mm nimemshangaaa yaan anaongea uongo hapa kkoo tu umeme unakatika kwa wiki hats Mara tano au NNE ila yy haoni.
 
Tangu tuanze kutumia umeme wa Gesi, tatizo la umeme lipo? ni kama zamani? mwaka huu umekutana na tatizo hilo mara ngapi/?
dah we jamaa akili yako ni kama hilo jeneza...unajua hata asilimia 5% ya bomba lagesi hatulitumii af mbaya zaidi matrilioni wananchi tunaanza lipa..nani kwanza kakwambia umeme tunaotumia wote ni wagesi
 
Tangu mnunue Bombardier na Dreamliner mmeshaleta watalii wangapi? Hata wa kutoka huko China mnakofikiri ndo kuna wajomba na shangazi zenu huko?
Umeemuliza na kumuelimisha vitu vigumu zaidi ya uwezo wa akili yake......
-Muulize tuu toka wamenunua zile ndege wamepata faida kiasi gani??? Akikujib nitag [emoji42][emoji42][emoji42]
Kwenye biashara ya ndege huwezi ukasema kuwa umepata faida kwa kipindi kifupi kama hiki. Jamani acheni siasa fanyeni utafiti ya mambo haya kwa kuangalia mashirika mengine imechukuwa muda gani kupata faida.
Kwa sasa sitakosea nikisema kuwa ATC inachukuwa asilimia 40-60 ya soko la ndani. Graph ya mapato inazidi kupaa. Kinachowachelewesha kwenda kimataifa ni hayo mausala ya IATA ambayo nayo yanakaribia kufika ukingoni.
 
Graph ya mapato inazidi kupaa?? Hebu weka data acha longolongo mkuu haya ni maneno yako
 
Back
Top Bottom