SGR ya China kuingiza $.4.36 Bilioni mwaka 2018, halafu sisi tupo tu tunasema siyo kipaumbele

Graph ya mapato inazidi kupaa?? Hebu weka data acha longolongo mkuu haya ni maneno yako
Ninafahamu kuwa wengi humu ndani badala kuwa rational thinkers tumevamiwa na irrational tinkers.
Wala hakuna haja hata ya graph lakini unaweza kuona competiting airline kama Precision wanafanya nini ili kuweza kushindana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…