Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Ninafahamu kuwa wengi humu ndani badala kuwa rational thinkers tumevamiwa na irrational tinkers.Graph ya mapato inazidi kupaa?? Hebu weka data acha longolongo mkuu haya ni maneno yako
Wala hakuna haja hata ya graph lakini unaweza kuona competiting airline kama Precision wanafanya nini ili kuweza kushindana.