SGR ya Kenya yaendelea kuifilisi nchi, Sera za uchumi wa kibepari zalaumiwa.


kwani serikali haina mthamini majengo????

Mthamini wa serekali ndo alishathamini ardhi na majengo, wanaomiliki majengo wakakataa hio hela iliopendekezwa na serekali, serekali ikaogeza hio hela Hadi 25million lakini jamaa bado wakataa, serekali ikaamua hivyo hivyo lazima SGR itapitia na hapo wanapokataa, wenye manyumba wakaenda kotini kupinga kuvunjiwa majumba Yao kwani itakua dhulma manake kulingana na hao haki zao zimekiukwa..... Kwahivyo sasa mahakama ndo itaamua kama hio 25m ni fare Kwa serekali na pia Kwa wamiliki wa nyumba ..
In the mean time serekali imeamua kuvunja hayo majumba kilazima ambayo inaruhusiwa kisheria manake mchina naye anakula fine Kwa kucheleweshwa kujenga SGR manake mitambo na wafanyikazi wanalipwa ilhali hakuna kazi inayoendelea sababu kesi kotini. Kwahivyo no mahakama ndo itaamua mwenye haki ni Nani manake serekali na wenye majumba wameshindwa kuelewana.
 
Kwahiyo hao wanaozungumza hapo wote hawajui kitu, au hawamiliki kitu, wewe ndio zaidi ya hao wote hapo?. Hilo ndio tatizo la wakenya, kila mtu kujifanya mjuaji, ndio sababu hamtokaa muelewane wenyewe kwa wenyewe, na hamtokaa muelewane na nchi yoyote ile. Endeleeni ni kujifanya mnajua kila kitu wakati nchi inafilisika, rushwa, ukabila na " insecurity " vinaongezeka. Hivi kwanini mnaongoza duniani kwa kuwa dishonesty country?, sababu moja wapo ni kujifanya mnajua kila kitu, wakati ndani ya MOYO wako unajua kabisa kwamba huna uhakika na unalolisema.
 
Hahaha , i like how Tzedians are experts and specialists in management ,asset allocation and strategic variables lakini waone vile nyumba yao inayumbayumba na iko chafu.
 
Nimekwambia nipatie mtu ambaye anamiliki shamba hapo anayesema millioni mbili! Au nipatie mkenya hapa jf ambae atakwambia shamba unaeza pata Kwa hio bei hapa Nairobi na vitongoji vyake, hasaa Kwa eneo ambalo tayari lishaendelea.

Hata kule Malindi karibu na airport walipokua wanataka kununua mashamba ya watu ili kufanya expansion iwe int'll airport walikua wanalipa watu between 1- 2 million per plot hata kama hauja Jenga chochote, tulipokataa mwishowe walitulipa 4 million ..... Alafu eti Karibu na Nairobi eti iwe ni 2 million!!!!


Hii hapa advert Kwa OLX ya 1 ecre ya shamba karibu na eneo lilioendelea huko huko Ngong area .... Hio shamba inauzwa for 19 million ksh !!!!!!!!

Hii NI shamba ya mtu anauza, hapa si cha SGR wala nini, hio ndo bei ya mtaani Hilo eneo, miaka kumi iliopita unaeza kuta ulikua unaeza nunua kipande hicho hicho na 5 millioni , sasa unauziwa 19 million, hapo haujaanza kujenga nyumba tayari ushatumia 19.mllion!!!!!!


Hii hapa nyengine 5 bedroom house (imefanana na hio inayovunjwa Kwa sababu ya SGR) for sale 1.2km from Ngong town imejengwa juu ya 1/2 of an acre inauzwa for 22 million ksh!!!!!





------
Alafu uniambie wewe hao wanaotaja millioni mbili hapo Kwa video yako ni kinanani hao kama si wendawazimu!!!
 
Mnafanya uhuru ajifungie ndani kama anakula eda

Kila kona anadaiwa
 
Km nyumba ya 2 million inakaa hvo...basi kijijini kwetu hayo majumba yangelitapakaa...duh!!kweli kichaa joto la jiwe anaweweseka
 
Hahaha , i like how Tzedians are experts and specialists in management ,asset allocation and strategic variables lakini waone vile nyumba yao inayumbayumba na iko chafu.
Ndio maana miradi mibovu kama Bagamoyo tuliifyekelea mbali, sisi hatukurupuki hovyo na renders za kichina kama ninyi, ona Isiolo Airport imegeuka maskani ya popo na Lamu nayo itakua bandari ya kudakia omena.
 
Swali langu linabaki pale pale, kwamba hao wote kwa vyeo vyao walivyonavyo mpaka wakaitwa kuja kuzungumza katika TV, woote hao kwa pamoja wanazungumza lugha moja, woote hao unawaona hawajui kitu kukuzidi wewe. Kweli Kenya mpo na shida kubwa sana. Hivi kwa tabia yenu hiyo ya kujifanya mnajua kila kitu, mtaweza kumaliza ukabila na tabia ya kubaguana,?
 
Km nyumba ya 2 million inakaa hvo...basi kijijini kwetu hayo majumba yangelitapakaa...duh!!kweli kichaa joto la jiwe anaweweseka
Huna akili wewe, kazi yako kupiga domo tu, nimesema hiyo NYUMBA haiwezi zaidi 15M, na huo ndio ukweli, haiwezi fika 25M, ninyi tunawajua kwa kupenda Ku- inflate prices, SGR la diesel mumetumia twice the price ya electric railway.
 
Huna akili wewe, kazi yako kupiga domo tu, nimesema hiyo NYUMBA haiwezi zaidi 15M, na huo ndio ukweli, haiwezi fika 25M, ninyi tunawajua kwa kupenda Ku- inflate prices, SGR la diesel mumetumia twice the price ya electric railway.
Unamaanisha hii hapa
 
Ndio maana miradi mibovu kama Bagamoyo tuliifyekelea mbali, sisi hatukurupuki hovyo na renders za kichina kama ninyi, ona Isiolo Airport imegeuka maskani ya popo na Lamu nayo itakua bandari ya kudakia omena.
Wacha maringo ovyo ovyo ,hata ile reli ya SGR to Morogoro si pia itakuwa hivyo?
 
Nimekuonyesha hadi ushahidi wa bei ya nyumba kama hio iliovunjwa huko Ngong inauzwa for 22 million na hio ni bei ya kawaida..... Mimi hua naambia watu kila siku, dunia ya sikuhizi unafaa uweunaweza kuwaza na kufikiria mwenyewe sio kuamini kila kitu unachosikia au kusoma Kwa gazeti ... Kuna ule wakati wale wakaazi wa mau forest walifurushwa kutoka vijiji vyao .... Kwa maruninga kukawa na panel kubwa ya 'experts' wamevaa masuti , wakisema ni mabwenyenye ndo walinunua mshamba ndani ya huo msitu na watu wanaolialia wamelipwa na hao mabwenyenye kwahivyo hata hawana haki ya kufidiwa kabla kuhamishwa ..... Baadae ikaja ikajulikana kumbe ni mwana siasa ndo alikua anachochea hao wakaazi wahamishwe kwasababu kuna wakaazi wa Hilo eneo walikataa kumuuzia mashamba en .... Kumbe hao wakaazi wameishi Kwa misitu tangu enzi za kabla ukoloni, na mababu zao wahenga wamezikwa humo karibu miaka 100 iliopita .... WB ilipoona hivyo ikaamua haitotoa pesa za kulinda huo msitu.... Hii ni Kenya ndugu, hauijui hata 10%, na ukifikiria unaijua hapo ndo utagundua haujui kitu.... Mbali na changamoto zetu Tele bado projects humalizika kama miujiza vile .. Bado Uchumi hukua .. hizi shida tumekua nazo tangu 1960, Hadi Leo bado tunawashinda Kwa Nyanja nyingi Sana! Sasa unafaa ujiulize nyingi msio na kasoro mbona hamjapiga hatua yoyote bado mko nyuma yetu hadi sasa!!!
 
Huo ujinga wenu wa kujifanya mnajua kila kitu, ndio sababu ukabila, rushwa na " unemployment " vimewashinda. Kila mtu Kenya anajifanya anajua zaidi kuliko wakenya wote, lakini njaa imewashinda mnategemea Tanzania na chakula cha msaada to nchi wahisani. Eti mumeizidi Tanzania, zaidi ya cooked GDP, nini tena mnajilinganisha na Tanzania?, tukifunga mpaka Leo, kesho mnakuja kutupigia magoti. Ninyi zaidi ya roho mbaya, wivu na ubinafsi, nini tena mnaizidi Tanzania?. Ona jinsi mlivyo na roho mbaya na wivu.
 

Kwani baada ya hiyo property valuation kutolewa na serikali na kuongezewa, kwa nini walikataa? Na walikuwa wanakataa kwa msingi upi? walileta professional opinion to counter the govt valuation? Tathimini hiyo ilikaa muda gani from the date of evaluation? Pia sheria ya kenya ya compulsory land acquision or eminent domain inasemaje?
 

wakenya nao wanataka kulianzisha kama la afrika kusini.
Halafu wanasiasa ni wabaya sana. ona sumu anayoeneza. hivi anajua ni wakenye kiasi gani wako nje ya kenya. huko wakifukuzwa itakuwaje?
 
wakenya nao wanataka kulianzisha kama la afrika kusini.
Halafu wanasiasa ni wabaya sana. ona sumu anayoeneza. hivi anajua ni wakenye kiasi gani wako nje ya kenya. huko wakifukuzwa itakuwaje?
Subiri walianzishe waone litakachowakuta, wakiwasha moto, sisi tunaweka petroli, ili ukolee vizuri.
 
Ardhi inauzwa Ksh. Milioni 25, 1Ksh=20Tsh, 25milX20=500 milioni Tsh,

Naanza kumshukuru Nyerere kutoruhusu watu kuhodhi ardhi.. maana na sisi tungekuwa huku.. Imagine Michuki alikuwa anamiliki 400 acres hapo Nairobi (akajenga Windsor Golf Hotel hapo Ridgeways), na hapo hapo Nairobi kuna watu hawana mahali pa kuishi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…