Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Mahakama ndio inafanya valuing, kwani ninyi hamna mthamini mkuu wa serikali {General Assessor or Appraiser} afanye hiyo kazi? Au ndio miamya ile ile ya wizi?
Huu ubepari una make sense kwenye mataifa yaliyoendelea sasa Hapo mwananchi mlalahoi, serikali nayo lalahoi taabu na nusu, mnaifilisi serikali yenu kwa kutaka pesa mingi wakati yenyewe ilishafilisika, hizo pesa itabidi ikakope kwa business rates loans kutoka Beijing.
kwani serikali haina mthamini majengo????
Mthamini wa serekali ndo alishathamini ardhi na majengo, wanaomiliki majengo wakakataa hio hela iliopendekezwa na serekali, serekali ikaogeza hio hela Hadi 25million lakini jamaa bado wakataa, serekali ikaamua hivyo hivyo lazima SGR itapitia na hapo wanapokataa, wenye manyumba wakaenda kotini kupinga kuvunjiwa majumba Yao kwani itakua dhulma manake kulingana na hao haki zao zimekiukwa..... Kwahivyo sasa mahakama ndo itaamua kama hio 25m ni fare Kwa serekali na pia Kwa wamiliki wa nyumba ..
In the mean time serekali imeamua kuvunja hayo majumba kilazima ambayo inaruhusiwa kisheria manake mchina naye anakula fine Kwa kucheleweshwa kujenga SGR manake mitambo na wafanyikazi wanalipwa ilhali hakuna kazi inayoendelea sababu kesi kotini. Kwahivyo no mahakama ndo itaamua mwenye haki ni Nani manake serekali na wenye majumba wameshindwa kuelewana.