Hii sio sawaWafunge kamera
Kama mtu sio mhalifu ataogopa kamera chooni kivipi Haina shidaHii sio sawa
Inabidi wafanye hivyo tu, hakuna namna.huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta.
na atakayechafua aidha asafishe mwenyewe au apigwe faini ndefu.
billa ya hivyo itakuwa sgr ya kichocho na kipindu pindu baada ya safari ya kwanza tu, I know my people …
Control room anakaa mtu wa jinsia ganiKama mtu sio mhalifu ataogopa kamera chooni kivipi Haina shida
hakuna haja ya polisi, education tu inatosha. polepole watu watakuwa wastaarabu na kujiendesha wenyewe. hana maisha ya kawaida, awareness ya kutotupa takataka ikifanyika kwa muda fulani raia wenyewe watachungana. nimependa mabasi ya kisasa yenye choo, kabla hamjaondoka wanatangaza kabisa, kwamba choo hii ni kwaajili ya haja ndogo tu, marufuku haja kubwa; na hakuna anayefanya haja kubwa. na tren watangaze tu kwamba hakikisha unatumia choo vizuri na kwa usafi kama huwezi sema usaidiwe kwa maelekezo. by time watu watacope na tabia ya ustaarabu itazoeleka. ukitaka kitu kifanikiwe wacha raia wawe ndio walinzi kuliko polisi.huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta.
na atakayechafua aidha asafishe mwenyewe au apigwe faini ndefu.
billa ya hivyo itakuwa sgr ya kichocho na kipindu pindu baada ya safari ya kwanza tu, I know my people …
Jinsia yeyoteControl room anakaa mtu wa jinsia gani
sio sawa kabisa, huko kuchungulianaWafunge kamera
Chooni ni sehemu privacy hakuna Sheria ya namna hiyo duniani kote na haitakuja kutokea chooni kukawa na cameraKama mtu sio mhalifu ataogopa kamera chooni kivipi Haina shida
Kwanini wawekwe askari ? Unawekaji watu ambao makazi yao tu waliyowekwa sio nadhifu atawezaje simamia usafi?hebu tuwe serious kidogo na mambo ya msingi kushindwa ku maintain usafi ni namna fulani yakuonesha umaskini na ujinga tulionaohuu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta.
na atakayechafua aidha asafishe mwenyewe au apigwe faini ndefu.
billa ya hivyo itakuwa sgr ya kichocho na kipindu pindu baada ya safari ya kwanza tu, I know my people …
Kwenye ndege?Jinsia yeyote
Camera mbona huweko hata kwenye vyoo vya ndege na kwenye train waweke
Kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa.Huulizwi umefanya nini.Ukitoka tu kuna mtu mlangoni anakusubiri asafishe tena mara nyengine wa jinsia tofauti.Chooni ni sehemu privacy hakuna Sheria ya namna hiyo duniani kote na haitakuja kutokea chooni kukawa na camera