Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wanaotumia uwanja wa ndege wengi ni watu matajiri na walioendelea.Kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa.Huulizwi umefanya nini.Ukitoka tu kuna mtu mlangoni anakusubiri asafishe tena mara nyengine wa jinsia tofauti.
Halafu kwa ujumla mtu akiingia chooni inategemea alikuwa na hali gani na alikwenda kufanya nini.Wakati mwengine unatamani uwache choo kisafi lakini hali hairuhsusu inabidi utoke tu.
Kama maji ya kutosha hakuna utafanyaje.