UlipigwaImeimarika Shilingi yetu sasa
Last week nilikuwa Nairobi ukitoa Tsh. 10,000/=
ulikuwa unapata Ksh 400/=.
Kama imefika Ksh 500/= ni sawa sana
Kwamba. Ulichange na rate ya ngapi?Imeimarika Shilingi yetu sasa
Last week nilikuwa Nairobi ukitoa Tsh. 10,000/=
ulikuwa unapata Ksh 400/=.
Kama imefika Ksh 500/= ni sawa sana
Ni Tsh 10,000 kwa Ksh 400/=Kwamba. Ulichange na rate ya ngapi?
Ukiwa na tsh rate sasa ni 22x 500
11,000
Hapana, hata nilivyotoka nje ya JKI hali ilikuwa hivyo hivyoUlipigwa
Uchumi wa Kenya upo juu ila Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko Kenya.Kenya uchumi wao upo juu kushinda Tanzania. Wana viwanda vingi Sana na vinafanya kazi. Sumu za panya kunguni zote med in kenya
Mombasa last week 510 ilikua 10k ya TzHapana, hata nilivyotoka nje ya JKI hali ilikuwa hivyo hivyo
Hapana, pesa yetu imeporomoka sana thamani dhidi ya Kenya hasa kuanzia mwezi february hivi mwaka huu!!.Imeimarika Shilingi yetu sasa
Last week nilikuwa Nairobi ukitoa Tsh. 10,000/=
ulikuwa unapata Ksh 400/=.
Kama imefika Ksh 500/= ni sawa sana
Naombeni mnapochangia rate nikachangeNi Tsh 10,000 kwa Ksh 400/=