Sh. 500 ya Kenya inakaribia 10,000 ya Tanzania?

Sh. 500 ya Kenya inakaribia 10,000 ya Tanzania?

Cheology

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
384
Reaction score
601
Inatia hasira.

Wana fedha kaeni mkijadiri iweje jero ya kiwe 10elf ya bongo.

Screenshot_20240604_001551_Chrome.jpg

This is not right
 
Imeimarika Shilingi yetu sasa

Last week nilikuwa Nairobi ukitoa Tsh. 10,000/=
ulikuwa unapata Ksh 400/=.

Kama imefika Ksh 500/= ni sawa sana
 
Sina la kusema zaidi ya MAMA ANAUPIGA MWINGI.

images (1) (1).jpeg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Imeimarika Shilingi yetu sasa

Last week nilikuwa Nairobi ukitoa Tsh. 10,000/=
ulikuwa unapata Ksh 400/=.

Kama imefika Ksh 500/= ni sawa sana
Kwamba. Ulichange na rate ya ngapi?

Ukiwa na tsh rate sasa ni 22x 500
11,000
 
Kenya uchumi wao upo juu kushinda Tanzania. Wana viwanda vingi Sana na vinafanya kazi. Sumu za panya kunguni zote med in kenya
Uchumi wa Kenya upo juu ila Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko Kenya.

Ndio ujue kuwa tuna watu wa hovyo wenye dhamana ya kutusimamia sisi na Rasilimali zetu.

Wanashindwa kuzitumia kujikwamua kiuchumi.
 
Kua na hio 500 nairobi na huku mwingine ana buku 10 dar angalia matumizi yao.
...
 
Imeimarika Shilingi yetu sasa

Last week nilikuwa Nairobi ukitoa Tsh. 10,000/=
ulikuwa unapata Ksh 400/=.

Kama imefika Ksh 500/= ni sawa sana
Hapana, pesa yetu imeporomoka sana thamani dhidi ya Kenya hasa kuanzia mwezi february hivi mwaka huu!!.
Katika hiyo elfu 10,000 ulikuwa unapata kama 560 kenyan.
Sijui huyu Mama anafeli wapi na team yake ya akina Mwigulu ila biashara kati ya Kenya na Tz iko hoi kwa sasa.
Hata US Dola Kenya zinapatikana kirahisi tena kwa rate nzuri sana kuliko huku Tanzagiza!.
 
Inawezekana rasilimali unazotumia kuipata hiyo Ksh. 500 ni kubwa zaidi ama ziko sawa ama zimepishana kidogo na unazotumia kuipata Tsh 10,000. Vivyo hivyo kwenye purchasing power.

1 Yen ya Japan = 0.84 Ksh. ila GDP per capita ya Japan ni almost 34,000 USD wakati GDP per capita ya Kenya ni almost 2,100 USD.
 
Rate ya leo ni 21.56 yaani ukiwa na milioni 1 ya Tz unapata Kenyan 46,300 tuu!.
Kwa wafanyabiashara wa Tz kununua bidhaa kenya hapo ni majanga.
Wakenya ndio watafaidika maana wakija kwetu kubadilisha pesa yao kupata ya kibongo wanapata lundo la pesa za kibongo...so atanunua bidhaa nyingi tofauti na sie tukienda kwao!.
Hivi hakuna chochote wataalam wetu wa fedha wanaweza wakafanya kusaidia wafanyabiashara wa Kitz wanaokwenda kununua bidhaa Kenya??

Au kwakuwa wao wanapata mishahara mizuri na posho za uhakika wanaona hayo hayawahusu...serikali inakosa ushuru /kodi kwa bidhaa mbalimbali ambazo zingeingizwa nchini.
 
Back
Top Bottom