Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Unahitaji elimu ya uchumi aisee. Thamani ya pesa haihusiani na ukubwa/udogo wa uchumi wa nchi, tafuta maarifa kabla ya kucomment.Kenya uchumi wao upo juu kushinda Tanzania. Wana viwanda vingi Sana na vinafanya kazi. Sumu za panya kunguni zote med in kenya
Fedha ya Kuwait ina thamani ×3 ya fedha ya Marekani USD kwahiyo hapo utaniambia uchumi wa Kuwait ni mkubwa kuliko USA!?