Shaa afunguka mengi kuhusu mapenzi yake na Master Jay

Shaa afunguka mengi kuhusu mapenzi yake na Master Jay

Kwani mimi nilisema halipi kwako? Au kimbelmbele?

Kwako anaweza akawa halipi wenzako ni kama wamemuona Cleopatra, mwambie master J hivyo kuwa halipi kama atakuelewa.
 
Halafu picha yake si ipo mwenge kwenye tangazo la free style zile nanii za kina dada wakienda nyotani..
 
kwa huo mkao anaonekana kitandan atakua mtundu-mtundu!!!
 
Master jay nae mbona kamchukua msanii wa kawaida tu,wote wazuri waliojaa mjini hawa.
 
Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu wao

wenyewe wawili ila sio mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa na maumivu yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini niachie bahati yangu, Nampenda sana Master"Mtangazaji: Huwa unapika ukiwa nyumbani, ilikumpagawisha mzee
Shaa: Nashukuru sana kwani Master anapenda sana kupika kwakweli na mara nyingi huwa anapika yeye kuliko mimi, na Inshalah namshukuru sana Mwenyezi Mungu

Nyie mnao post ujinga kama huu, ndio mnasababisha kila siku mtu kusema mambo ya kwake kwa watu wengine, ya kwake binafsi yanatuhusu nn cc, muwe mnapost mambo ya maana kila siku mnapost mambo ya umbea tuu, mnawapa kichwa hawa madada zetu wasiotulia.
 
sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua

anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema

ila master namuaminia wallah

Mh..shangaa na nadhani alimpata kipindi kile cha cocacola unakumbuka..ndio binti alianza kuimba.tena aliimba nyimbo za kanisani mapambio
 
mwanzoni nilidhani ni marafiki wa kawaida ila sasa nimekubali si rahisi kuwepo urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke
 
Mi najua master jay ana mje wa ndoa kbs sasa hapo shaa sujui inakuwaje.
mwanzoni nilidhani ni marafiki wa kawaida ila sasa nimekubali si rahisi kuwepo urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke
 
Back
Top Bottom