Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Shaaban Chilunda yuko benchi na Phiri hatupo ktk list ya wanaoanza au kuwepo benchi but endapo atapewa nafasi leo, utakuwa mwanzo wa Chilunda kuaminika kwa Benchika.
Chilunda namuamini sana, hata Abdallah Hamis namuamini sana, watakapoaminiwa siku moja balaa litakuwa kubwa sana, naomba mungu Benchika ampange Chilunda leo second half
Chilunda namuamini sana, hata Abdallah Hamis namuamini sana, watakapoaminiwa siku moja balaa litakuwa kubwa sana, naomba mungu Benchika ampange Chilunda leo second half