fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nafikiri hivi sasa huna la kusema,maana unajua huyo uliyemtaja yuko wapiKama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.
Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania.
Muda ni mwalimu mzuri.
Ok je hivi sasa bado huwaamini yanga?sijawahi kuiamini Yanga chini ya gsm yaani jamaa wanaendesha timu kama wanavyoendesha biashara zao kijanja janja tu, mara la liga, mara kalinyozi, mara lamine moro, mara jezi za yanga timu inakula elfu moja tu kila wakiiuza! wanayanga watadanganywa kwani wameshageuzwa mazoba!
Hizi tetesi zingine ni za kupotezeana muda kuzisoma. Mchezaji tajwa alikuwa anahojiwa na Azam jana kuwa ameshakuja kuwatumikia Yanga. Leo unatwambia amesajiliwa na Berkane!Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.
Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania.
Muda ni mwalimu mzuri.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji205][emoji205][emoji205]Hawa ndiyo washabiki wa YangaView attachment 1838436
Swine.Ndio wale tuliopata zero olevo, ungejiongeza kwa kuangalia kwenye mtandao wa Transfer Market huu ujinga usingeuweka hapa
π Eti muda ni mwalimu mzuri!! Uje utoe ushuhuda wako sasa! Au huo muda umrgeuka na kuwa mwanafunzi mzuri?Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.
Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania.
Muda ni mwalimu mzuri.
π Sasa wewe ni mbumbumbu fc, huo uhakika utaupatia wapi? Kwa Mwamedi?Sina uhakika kama kweli Yanga SC wamemsajili huyu Mchezaji, ila nawaonea mno Huruma Waandishi wa Magazeti ya Michezo hasa Mwanaspoti na Championi kwa Kuharibu Credibility yao kwa Kusema ameshasajiliwa Yanga SC na ikaja kujulikana kuwa si kweli.