Shaaban Djuma kuibukia Berkane?

Shaaban Djuma kuibukia Berkane?

Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.

Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania.

Muda ni mwalimu mzuri.
Nafikiri hivi sasa huna la kusema,maana unajua huyo uliyemtaja yuko wapi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
sijawahi kuiamini Yanga chini ya gsm yaani jamaa wanaendesha timu kama wanavyoendesha biashara zao kijanja janja tu, mara la liga, mara kalinyozi, mara lamine moro, mara jezi za yanga timu inakula elfu moja tu kila wakiiuza! wanayanga watadanganywa kwani wameshageuzwa mazoba!
Ok je hivi sasa bado huwaamini yanga?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.

Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania.

Muda ni mwalimu mzuri.
Hizi tetesi zingine ni za kupotezeana muda kuzisoma. Mchezaji tajwa alikuwa anahojiwa na Azam jana kuwa ameshakuja kuwatumikia Yanga. Leo unatwambia amesajiliwa na Berkane!
 
Mnapoteza muda kumjadili mtu ambaye mara ya mwisho kuingia jf ilikuwa tarehe 07.07.2021

Screenshot_2021-08-14_093850.jpg
 
Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.

Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania.

Muda ni mwalimu mzuri.
😏 Eti muda ni mwalimu mzuri!! Uje utoe ushuhuda wako sasa! Au huo muda umrgeuka na kuwa mwanafunzi mzuri?
 
Sina uhakika kama kweli Yanga SC wamemsajili huyu Mchezaji, ila nawaonea mno Huruma Waandishi wa Magazeti ya Michezo hasa Mwanaspoti na Championi kwa Kuharibu Credibility yao kwa Kusema ameshasajiliwa Yanga SC na ikaja kujulikana kuwa si kweli.
😏 Sasa wewe ni mbumbumbu fc, huo uhakika utaupatia wapi? Kwa Mwamedi?
 
Back
Top Bottom