Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Yanga ni timu ya hapahapa isikutie hofu
Hii habari picha picha mgando ni void
Ndo nani huyo mkuuTimu sasa hivi hazipokei bahasha kwa hiyo hii ndiyo utopolo halisi tunaiona.
Bahasha zimebaki kwa wachambuzi wa mchongo wakiongozwa na kile kijamaa meno yanataka kukimbiana kwa sababu ya ulevi wa mbege
Ni wa hapa hapa tu.. Hawana umuhimu wowote yaani zaidi kupiga kelele.Yanga ni timu ya hapahapa isikutie hofu
Kwa hiyo hapo ndo anafanyaje Mtani? Teh teh
Duh!...kazi Kweli KweliNimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.
Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
Anawanga kama Simba kule South mtani ๐. Anaweka tunguli zake katikati ya uwanja matokeo yake akanyimwa kupiga penati na Mayele. Halafu Mayele nae akakosa nabkuinyima ushindi Yanga๐.Kwa hiyo hapo ndo anafanyaje Mtani? Teh teh
Yeye alifanya vile kuharibu uchawi wa simbaNimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.
Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
Siku mbili tatu hizi mbona Mayele atakoma mtani. ๐Nasikia hata ule mpira wa Mayele umeonekana leo asubuhi Chanika ๐๐๐๐. Nakupa chai ya rangii mtani๐
Ndo najisemea tukiyaendeleza haya (japo sijaamini kama hapo Djuma anafanya ndumba ๐) hamna pale tutafika mtani hivyo tunahitaji kubadilika sana na kujitoa kwenye hizo fikra potofu tulizonazo.Anawanga kama Simba kule South mtani ๐. Anaweka tunguli zake katikati ya uwanja matokeo yake akanyimwa kupiga penati na Mayele. Halafu Mayele nae akakosa nabkuinyima ushindi Yanga๐.
Ulozi mbaya sana timu ikiloga inalaanika๐. Si uliona kule kwa madiba mipira ilikuwa inagonga nguzo tu.