Shaaban Juma anapofukia hirizi katikati ya uwanja ni ishara kuwa Yanga imekata pumzi

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Nimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.

Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
 
Timu sasa hivi hazipokei bahasha kwa hiyo hii ndiyo utopolo halisi tunaiona.

Bahasha zimebaki kwa wachambuzi wa mchongo wakiongozwa na kile kijamaa meno yanataka kukimbiana kwa sababu ya ulevi wa mbege
 
Mpoleeeeeeeeeee 😂😂😂
 
Ndo nani huyo mkuu
 
Nafikiri TFF wameona na watachukua hatua stahiki kukomesha huo uozo kwani mambo ya kishirikina hayaruhusiwi viwanjani. Na wajue wakiyafumbia macho ndio timu zetu wanayapeleka huko nje kwenye michezo ya kimataifa kama ilivyofanyika South Africa wachezaji wakawasha moto uwanjani na kuliletea taifa aibu.
 
Nimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.

Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
Duh!...kazi Kweli Kweli
ukikaidi utapigwa2 Tate Mkuu
 
Kwa hiyo hapo ndo anafanyaje Mtani? Teh teh
Anawanga kama Simba kule South mtani 😄. Anaweka tunguli zake katikati ya uwanja matokeo yake akanyimwa kupiga penati na Mayele. Halafu Mayele nae akakosa nabkuinyima ushindi Yanga😄.

Ulozi mbaya sana timu ikiloga inalaanika😄. Si uliona kule kwa madiba mipira ilikuwa inagonga nguzo tu.

Nasikia hata ule mpira wa Mayele umeonekana leo asubuhi Chanika 😄😄😄😄. Nakupa chai ya rangii mtani😄
 
Nimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.

Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
Yeye alifanya vile kuharibu uchawi wa simba
Ni kama orlando walivyo onekana wakimwaga maji uwanjani ilikua ni kuua uchawi wa simba
 
Nasikia hata ule mpira wa Mayele umeonekana leo asubuhi Chanika 😄😄😄😄. Nakupa chai ya rangii mtani😄
Siku mbili tatu hizi mbona Mayele atakoma mtani. 😀
 
Anawanga kama Simba kule South mtani 😄. Anaweka tunguli zake katikati ya uwanja matokeo yake akanyimwa kupiga penati na Mayele. Halafu Mayele nae akakosa nabkuinyima ushindi Yanga😄.

Ulozi mbaya sana timu ikiloga inalaanika😄. Si uliona kule kwa madiba mipira ilikuwa inagonga nguzo tu.
Ndo najisemea tukiyaendeleza haya (japo sijaamini kama hapo Djuma anafanya ndumba 😂) hamna pale tutafika mtani hivyo tunahitaji kubadilika sana na kujitoa kwenye hizo fikra potofu tulizonazo.
 
Back
Top Bottom