NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
duh!,,aibu kubwa hii[emoji125][emoji125][emoji125]
Shaban kaenda kufukua kitu kilichowekwa na mchezaji wa Prison angalia video kwanzia mwanzo wa tukioNimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.
Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
Hii yanga kimataifa haitoboi kokoteNimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.
Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
Acheni propaganda za kikuda embu anzia mwanzo wa tukio utaona mchezaji wa Prisons kafanya nini kisha Djuma Shaban kaenda kukitoa kilichowekwa na mchezaji wa Prisonsduh!,,aibu kubwa hii[emoji125][emoji125][emoji125]
Hakika, ukiona mtu anategemea uchawi kufikia mafanikio fulani tambua uwezo umefika ukomo😄. Hata katika maisha ya kawaida.Ndo najisemea tukiyaendeleza haya (japo sijaamini kama hapo Djuma anafanya ndumba 😂) hamna pale tutafika mtani hivyo tunahitaji kubadilika sana na kujitoa kwenye hizo fikra potofu tulizonazo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu sasa hivi hazipokei bahasha kwa hiyo hii ndiyo utopolo halisi tunaiona.
Bahasha zimebaki kwa wachambuzi wa mchongo wakiongozwa na kile kijamaa meno yanataka kukimbiana kwa sababu ya ulevi wa mbege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira sahivi unaitafuta Njombe.Siku mbili tatu hizi mbona Mayele atakoma mtani. [emoji3]
Taifa halijaletewa aibu bali LIMELETEWA NAFASI 4 ZA USHIRIKI WA KLABU KATIKA MICHUANO YA CAF....Nafikiri TFF wameona na watachukua hatua stahiki kukomesha huo uozo kwani mambo ya kishirikina hayaruhusiwi viwanjani. Na wajue wakiyafumbia macho ndio timu zetu wanayapeleka huko nje kwenye michezo ya kimataifa kama ilivyofanyika South Africa wachezaji wakawasha moto uwanjani na kuliletea taifa aibu.
Bill huu ndio mwanzo wa hiko kiclip ka mleta uzi.Acheni propaganda za kikuda embu anzia mwanzo wa tukio utaona mchezaji wa Prisons kafanya nini kisha Djuma Shaban kaenda kukitoa kilichowekwa na mchezaji wa PrisonsView attachment 2218902
Mfano police walikataa bahasha yenuTimu za taasisi hazipokei bakshishi
Yanga akishinda hizo anakua bingwaDodoma
Biashara
Coastal
Mbeya
Msituangushe
nani alieweka hirizi?Nafikiri TFF wameona na watachukua hatua stahiki kukomesha huo uozo kwani mambo ya kishirikina hayaruhusiwi viwanjani. Na wajue wakiyafumbia macho ndio timu zetu wanayapeleka huko nje kwenye michezo ya kimataifa kama ilivyofanyika South Africa wachezaji wakawasha moto uwanjani na kuliletea taifa aibu.
Ndio.Sure, kumbe ilikuwa follow up ya tukio
Kwa Yanga hii ya kumtegemea Mayele peke yake mpaka kwenye penati, kweli hatutoboi aisee!
Kuna Uzi ulisema usajili muhimu kwa Simba na Yanga..Na hapa unazidi kusisitia hivyo hivyo, naunga mkono hojaKwa Yanga hii ya kumtegemea Mayele peke yake mpaka kwenye penati, kweli hatutoboi aisee!
Usajili wa maana haukwepeki. Hata tukimchukua George Mpole atatusaidia, ila siyo Saido Ntibazonkiza! Umri umemtupa kwa kweli.
Mbona nyie mli waangusha?Dodoma
Biashara
Coastal
Mbeya
Msituangushe