Shaaban Juma anapofukia hirizi katikati ya uwanja ni ishara kuwa Yanga imekata pumzi

Shaaban Juma anapofukia hirizi katikati ya uwanja ni ishara kuwa Yanga imekata pumzi

Nimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.

Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
Shaban kaenda kufukua kitu kilichowekwa na mchezaji wa Prison angalia video kwanzia mwanzo wa tukio
 
Nimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora kama wanavyojitapa, hiv timu iliyosajili kwa mamilioni ya shilingi inaweza kuamini superstition? Halafu akatokea mchezaji mwingine wa Yanga akamwaga maji uwanjani, shame on u Yanga.

Mtaweza kweli kupambana kimataifa nyie?
Hii yanga kimataifa haitoboi kokote
 
Ndo najisemea tukiyaendeleza haya (japo sijaamini kama hapo Djuma anafanya ndumba 😂) hamna pale tutafika mtani hivyo tunahitaji kubadilika sana na kujitoa kwenye hizo fikra potofu tulizonazo.
Hakika, ukiona mtu anategemea uchawi kufikia mafanikio fulani tambua uwezo umefika ukomo😄. Hata katika maisha ya kawaida.

Lakini hapa simaanishi tiba asili, hii ni tofauti na uchawi.
 
Timu sasa hivi hazipokei bahasha kwa hiyo hii ndiyo utopolo halisi tunaiona.

Bahasha zimebaki kwa wachambuzi wa mchongo wakiongozwa na kile kijamaa meno yanataka kukimbiana kwa sababu ya ulevi wa mbege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafikiri TFF wameona na watachukua hatua stahiki kukomesha huo uozo kwani mambo ya kishirikina hayaruhusiwi viwanjani. Na wajue wakiyafumbia macho ndio timu zetu wanayapeleka huko nje kwenye michezo ya kimataifa kama ilivyofanyika South Africa wachezaji wakawasha moto uwanjani na kuliletea taifa aibu.
Taifa halijaletewa aibu bali LIMELETEWA NAFASI 4 ZA USHIRIKI WA KLABU KATIKA MICHUANO YA CAF....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri TFF wameona na watachukua hatua stahiki kukomesha huo uozo kwani mambo ya kishirikina hayaruhusiwi viwanjani. Na wajue wakiyafumbia macho ndio timu zetu wanayapeleka huko nje kwenye michezo ya kimataifa kama ilivyofanyika South Africa wachezaji wakawasha moto uwanjani na kuliletea taifa aibu.
nani alieweka hirizi?
 
Attachments

  • fb_20220510_105510.mp4
    1.3 MB
Kwa Yanga hii ya kumtegemea Mayele peke yake mpaka kwenye penati, kweli hatutoboi aisee!

Usajili wa maana haukwepeki. Hata tukimchukua George Mpole atatusaidia, ila siyo Saido Ntibazonkiza! Umri umemtupa kwa kweli.
Kuna Uzi ulisema usajili muhimu kwa Simba na Yanga..Na hapa unazidi kusisitia hivyo hivyo, naunga mkono hoja

Timu hizi zinahitaji mabadiliko ya maana sana kwenye usajili, ambayo yasiyoangalia Ligi Kuu tu, bali ngazi za Kimataifa

Naona umekuja kivingine kabisa..!
 
Back
Top Bottom