Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

Yaani Watanzania!!!
 
Hapo umepotosha Gardner alikua analipwa million 8.7 after tax.
Akipiga jingle moja alikua analipwa kwa sekunde kila baada ya sekunde 30 analipwa million 1.5 inamaana tangazo likiwa na dakika moja analipwa 3M kwa masharti ya tangazo litumike ndani ya siku 30 tu inamaana ukitaka litumike kwa zaidi ya mwezi mmoja utalipia kila mwezi
Hapo bado kampuni ya bia aliyokua anapenda ilimpa offer ya kunywa bia bure kabisa bar yoyote ambayo inayo Lipa namba
 
Bado kazi ya u MC ilimpa sana hela
 
Mshahara huo na hizo bonus za matangazo kama unavyotuaminisha,afu pale kijitonyama ndio nyumbani kwake pako vile?
 
da waliamua kumuua Kwa style hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…