kwahiyo alirogwa usiku huohuo?Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda
Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda
Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.
Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani yuko wapi,View attachment 3291784
Sawa kaka ,shukraniSteve anaagwa leo ,wanazikia kesho huko kwao moshi,niko mkoa ningekutafuta mkuu
Umeripoti hili tatizo kwa mzee wa upako?Sasa hata hajulikani yuko wapi,
Angekuwa tapeli kanisa lake lingeshafutwa siku mingi...Mzee tapeli yule
Basi itakuwa naye ni sehemu ya watawala kama alivyokuwa pastor Gertrude Rwakatare...Hajagusa maslahi ya watawala