Shaban Chilunda alirogwa baada ya kupiga picha na Rais?

Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda

Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda

Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.

Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani yuko wapi,View attachment 3291784
Acha kumtafuta John Bocco........waulize akina Mugalu,Mavumbo,Salamba n.k.
 
Chi
Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda

Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda

Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.

Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani yuko wapi,View attachment 3291784
CHilunda mpira ulishamkataa kitambo
 
Back
Top Bottom