MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Habari yako mzee ,shikamoo
Acha kumtafuta John Bocco........waulize akina Mugalu,Mavumbo,Salamba n.k.Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda
Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda
Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.
Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani yuko wapi,View attachment 3291784
CHilunda mpira ulishamkataa kitamboKuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda
Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda
Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.
Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani yuko wapi,View attachment 3291784
Na wew mkuu ukisikia ulaya usidhani lazima ajue mpiraKitambo vipi mtu kacheza hadi ulaya
Hahah ila mwana yupo. Juzi niliona anafunga penatiWivu na ulozi may be ulianzia hapo wakaona kuwa huyu si mwenzetu