Shaban Kaoneka acha kulalamika ji-'brand'

Shaban Kaoneka acha kulalamika ji-'brand'

City Rider

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
402
Reaction score
1,212
Nimeona video ya kaoneka akilalamika Mandonga kupata pesa licha ya kuwa alimtwanga. Haya ni malalamiko ya kitoto sana kwa Bondia aliyeshinda pambano muhimu kama lile.

Wanamichezo na wasanii wa bongo wamezembea sana kwenye swala la branding wanatumia majina makubwa kunywa bia na kuopoa mademu badala ya biashara.

Kwanini hamjifunzi kwa the powerful brand Diamond Platnumz jamaa sio mwanamuziki mzuri lakini powerful and rich sababu ya brand.

Amkeni
 
Aji brand kwani yeye mkata mauno. Yeye aendeleze ushindi apigane ngumi. Aachane na huyo mpiga domo. Ngoja mandoga ayakanyage kwa mfaume mfaume ampasue ubongo

Ova
 
Watu wa michezo wangedili na kaoneka bingwa. Wa udaku wangedili na mandonga kituko. Sasa shida wa michezo nao wanadili na kituko kama wao pia ni wa udaku.
 
Back
Top Bottom