mimiMEE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 285 Reaction score 102 Apr 9, 2014 #1 Habari za jioni jukwaa la lugha. naomba mnisaidie hapa ,ukiondoa ushairi na riwaya Shaaban Robert aliandika nini kingine, naombeni msaada wenu wandugu
Habari za jioni jukwaa la lugha. naomba mnisaidie hapa ,ukiondoa ushairi na riwaya Shaaban Robert aliandika nini kingine, naombeni msaada wenu wandugu
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 Apr 10, 2014 #2 Aliandika Riwaya nyin tu mfano "KUSADIKIKA", "KUFIKIRIKA" , "ADILI NA NDUGUZE" n.k
mimiMEE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 285 Reaction score 102 Apr 10, 2014 Thread starter #3 mvuv said: Aliandika Riwaya nyin tu mfano "KUSADIKIKA", "KUFIKIRIKA" , "ADILI NA NDUGUZE" n.k Click to expand... ahsante mkuu bt hizo nazifahamu nahitaji kujua aliandika nini kingine kama ni makala na yalihusu nini
mvuv said: Aliandika Riwaya nyin tu mfano "KUSADIKIKA", "KUFIKIRIKA" , "ADILI NA NDUGUZE" n.k Click to expand... ahsante mkuu bt hizo nazifahamu nahitaji kujua aliandika nini kingine kama ni makala na yalihusu nini
H hukumundo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2011 Posts 850 Reaction score 438 Apr 20, 2014 #4 Ongezea: Maisha Yangu Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini Mapenzi Bora Kielelezo cha Fasili Wasifu wa Siti Binti Saad Riwaya kadha Vitabu kadha vya ushairi Insha
Ongezea: Maisha Yangu Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini Mapenzi Bora Kielelezo cha Fasili Wasifu wa Siti Binti Saad Riwaya kadha Vitabu kadha vya ushairi Insha
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Apr 21, 2014 #5 Aliandika Tawasifu, Maisha ya Siti Binti Saad, Tawasifu ni aina ya riwaya, lakini si riwaya hasa kwani uwa na mwega wa maisha halisi ya mtu fulani ambao huongezwa chuku kidogo ili kuisanaisha.
Aliandika Tawasifu, Maisha ya Siti Binti Saad, Tawasifu ni aina ya riwaya, lakini si riwaya hasa kwani uwa na mwega wa maisha halisi ya mtu fulani ambao huongezwa chuku kidogo ili kuisanaisha.