Shaban Robert

Shaban Robert

mimiMEE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
285
Reaction score
102
Habari za jioni jukwaa la lugha.

naomba mnisaidie hapa ,ukiondoa ushairi na riwaya Shaaban Robert aliandika nini kingine,
naombeni msaada wenu wandugu
 
Aliandika Riwaya nyin tu mfano "KUSADIKIKA", "KUFIKIRIKA" , "ADILI NA NDUGUZE" n.k
 
Aliandika Riwaya nyin tu mfano "KUSADIKIKA", "KUFIKIRIKA" , "ADILI NA NDUGUZE" n.k

ahsante mkuu bt hizo nazifahamu nahitaji kujua aliandika nini kingine kama ni makala na yalihusu nini
 
Ongezea:
Maisha Yangu
Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini
Mapenzi Bora
Kielelezo cha Fasili
Wasifu wa Siti Binti Saad

Riwaya kadha
Vitabu kadha vya ushairi
Insha
 
Aliandika Tawasifu, Maisha ya Siti Binti Saad, Tawasifu ni aina ya riwaya, lakini si riwaya hasa kwani uwa na mwega wa maisha halisi ya mtu fulani ambao huongezwa chuku kidogo ili kuisanaisha.
 
Back
Top Bottom