Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Leo tuusikilize na kuujadili wimbo KIPEPEO
View: https://www.youtube.com/watch?v=lUyLae6jWLY&list=RDlUyLae6jWLY&start_radio=1
Sikumoja itafika, nitafanikiwa mafikara na mawazo siku hiyo yatakwisha

Kwani kila lenye mwanzo halikosi mwisho Bwana Mungu anaziona taabu nizipatazo
kila lenye sura halikosi kisogo bwana Mola anaziona taabu nizipatazo mama oo.
Pole pole pole siku itafika (nitafanikiwa mimi ee)
Pole pole pole siku itafika
Bado ni hai sivunjiki moyo wala sitachoka kwa maisha yangu
Sitakuwa na wivu kwa kipato cha mwingine yeyeye ooo Dede ninaimba

ninachohitaji ni amendeleo yangu nitajituma kuyatafuta mafanikio
Kipepeo huruka kwa hatua bahati haina mwenyewe

Waimbaji: Shabani Dede
Jumbe Batamwanya
Roy Bashekanabo
Jaffary Homange
Belesa Kakere
Magitaa: Kassimu Mponda De la Chance (solo)
Duncan Ndumbalo (Rhythm)
Salum Urembo (bass)
Midomo ya Bata: ,Boniface Kachale, Lazaro Remmy, Juma Masalawa na Issa Mkize
Tumba- : Said Mwarami
Drums- : Athuman Manicho