The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Wakuu Habari!
Nimeamua kumuongelea Kado lakini najua suala hili linawahusu wanamichezo wengi.
Jana nimeangalia tuzo za vodacom za wacheza soccer nikashangaa sana kumuona kado na wengine wamevaa kiselaaa kama vile wapo kwenye tamasha la Muziki... Wakuu nimefuatilia awards nyingi sana za kimataifa.....huwezi kuta kina Ronaldo, Messi, Mata, Vidal, Sanchez wamevaa kisela ( casual wear) watu wanatupia Suti za maana... Hizi awards ni matukio makubwa kimichezo.....lazima uende nadhifu sio kiseelaaaaaaa.....yaani ni sawa na kuitwa na rais ikulu alafu uvae t-shirts na jinzi huko ni kuikosea heshima office.
Pili... Huyu kado hata kujieleza hajui Mungu wangu.....hivi hawafundishwi??? Anaulizwa nini siri ya mafanikio ?? Yeye anajibu...." Nilijua tu nitashinda". Is that an answer??
Mungu tusaidie.