Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwa kweli ni halali adhurumiwe tuu kwa uvaaji ule maana anaonekana bado mtoto na hawezi kunegoshiet chochote kuhusu fedha yake..lakini hili la kuvaa si la singano au kado pekee ni tatizo la kitaifa..hatujui kuvaa kipi katka tukio gani!!!
Mkuu yaani hili ni tatizo na ni kama msiba vile kwa Taifa letu. Yaani hawa Wachezaji wetu wanashindwa hata kuiga kuona wale waliopiga hatua mbele huko Ulaya wanavaaje kwenye matukio muhimu kama haya. Hao wachezaji wa Ulaya wenyewe wakiwa na majeruhi na hawapo kwenye list ya mchezo za Clubs zao wakiwa Jukwaani wanapiga suti za maana sembuse kwenda kwenye vikao.