Shabani Kado; anajielewa kweli?

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Wakuu Habari!

Nimeamua kumuongelea Kado lakini najua suala hili linawahusu wanamichezo wengi.

Jana nimeangalia tuzo za vodacom za wacheza soccer nikashangaa sana kumuona kado na wengine wamevaa kiselaaa kama vile wapo kwenye tamasha la Muziki... Wakuu nimefuatilia awards nyingi sana za kimataifa.....huwezi kuta kina Ronaldo, Messi, Mata, Vidal, Sanchez wamevaa kisela ( casual wear) watu wanatupia Suti za maana... Hizi awards ni matukio makubwa kimichezo.....lazima uende nadhifu sio kiseelaaaaaaa.....yaani ni sawa na kuitwa na rais ikulu alafu uvae t-shirts na jinzi huko ni kuikosea heshima office.

Pili... Huyu kado hata kujieleza hajui Mungu wangu.....hivi hawafundishwi??? Anaulizwa nini siri ya mafanikio ?? Yeye anajibu...." Nilijua tu nitashinda". Is that an answer??

Mungu tusaidie.
 
Hahahaaaa hiio ndo Bongo Tz...

Ajabu lingine la Dunia ni kwamba Kocha bora wa mwaka anapewa ALIEINUSURU TIMU KUSHUKA DARAJA NA SIO ALIEIPA TIMU UBINGWA hahahahaha
Soka la bongo bhana.....uchuroo mtupu!!!
 
Ni vema ingekua wanafanya maandalizi kwa wachezaji wetu. Hii itasaidia kuweka msingi mzuri kwa badae.

Malezi yetu wengi tunayajua na mambo haya bado ni mageni. Wachezaji wetu ni vema wakaelimishwa umehimu wa shughuli kama hizo muonekano wao una umihimu gani kwa jamii na pia wadau mbalimbali kama taasisi na makampuni ambayo yanaweza kuingia nao mikataba ya kibiashara.

Hizi ni fursa wasaidiwe wazitumie vizuri.
 
Ukistaajabu ya Kado utayaona ya Ramadhani Singano. Mlimuona Singano alivyovaa wakati ameenda kwwnye Kikao cha usulihishi kati yake na Simba,Sputanza na TFF?huyu ndio alinichefua kabisa na mpaka leo sijapata jawabu kwa jinsi alivyokuwa amevaa.
 
Hahahaha kwabi alivaaje mkuu??mi sijaona picha mkuu kama unayo embu iaplod hapa watu tucheke turefushee maishaa!!
 
Ramadhani Singano wanasema ni masikini, hana kitanda wala nguo nzuri za kuvaa. Nafikiri alivaa vile ili kudhibitisha kuwa kweli ni masikini.
 
Hahahaha kwabi alivaaje mkuu??mi sijaona picha mkuu kama unayo embu iaplod hapa watu tucheke turefushee maishaa!!

Kuweka picha kunanipa tatizo kidogo kwa mazingira niliyopo,but mpaka sasa siamini kama kweli alitoka kwenye Kikao muhimu kama kile kwa jinsi alivyokuwa amevaa. Alikuwa amevaa zile short-track,kobasi na tshirt yaani full majanga.
 
Ramadhani Singano wanasema ni masikini, hana kitanda wala nguo nzuri za kuvaa. Nafikiri alivaa vile ili kudhibitisha kuwa kweli ni masikini.

Jamani Watanzania embu tumuogopeni Mungu na tuache mambo ya kipuuzi. Hivi unataka kuniambia kwa muda wote aliochezea Simba alikuwa hapewi mshahara hata ashindwe kununua angalau Suruali na Mashati mawili matatu kwa ajili ya kuvaa kwenye matukio muhimu kama yale kweli? Huku ni kujiendekeza na kukufuru Mungu.
 
Ukistaajabu ya Kado utayaona ya Ramadhani Singano. Mlimuona Singano alivyovaa wakati ameenda kwwnye Kikao cha usulihishi kati yake na Simba,Sputanza na TFF?huyu ndio alinichefua kabisa na mpaka leo sijapata jawabu kwa jinsi alivyokuwa amevaa.

Kwa kweli ni halali adhurumiwe tuu kwa uvaaji ule maana anaonekana bado mtoto na hawezi kunegoshiet chochote kuhusu fedha yake..lakini hili la kuvaa si la singano au kado pekee ni tatizo la kitaifa..hatujui kuvaa kipi katka tukio gani!!!
 
huyu singano naye kavaa kama chinga tu wa karume au mtaa wa kongo.... inaonesha hata akili yake haipo sawa. naanza kupata shida hata hii issue kuna watu wanamshika tu masikio hana lolote. ameshindwa kuvaa hata suruali akachomekea? hivi hawa wachezaji wetu ina maana hawajifunzi kabisa kwa wenzao wa nje? mbona mazuri hawajifunzi wanajikitika kwenye ya kijinga tu na kuvuta mibhangi? nguo gan hizo mtu anavaa.... anaonekana hayupo serious kabisa,
 
Ukistaajabu ya Kado utayaona ya Ramadhani Singano. Mlimuona Singano alivyovaa wakati ameenda kwwnye Kikao cha usulihishi kati yake na Simba,Sputanza na TFF?huyu ndio alinichefua kabisa na mpaka leo sijapata jawabu kwa jinsi alivyokuwa amevaa.

Tatizo wachezaji wa kibongo wengi wanatokea kwenye vijiwe vya bange hakuna mchezaji atakaelelewa kwenye academy kama wenzetu mbele eti anaenda kwenye tuzo au kikao muhimu avae kibangebange kama hawa kina singano,

Pili maisha wanayokulia niyakiswazi sana,kubasii??? Au hujui wanaopenda makubasi!
 
Hahahaaaa hiio ndo Bongo Tz...

Ajabu lingine la Dunia ni kwamba Kocha bora wa mwaka anapewa ALIEINUSURU TIMU KUSHUKA DARAJA NA SIO ALIEIPA TIMU UBINGWA hahahahaha
Soka la bongo bhana.....uchuroo mtupu!!!

Sio kila kitu unaponda tu,sasa hapo kuna ajabu gani?lazima msimu wa 2013/14 wa uingereza kocha bora alikua wa crystal palace sababu aliitoa timu mkiani mpaka nafasi za kati sasa kisa wabongo wamefanya basi unaponda tu.
 
Shangaeni Na ya msuva alichopost Jana baada ya kupata Tuzo!!

Kiswahili kama cha mtoto wa chekechea
 
Sio kila kitu unaponda tu,sasa hapo kuna ajabu gani?lazima msimu wa 2013/14 wa uingereza kocha bora alikua wa crystal palace sababu aliitoa timu mkiani mpaka nafasi za kati sasa kisa wabongo wamefanya basi unaponda tu.

hujielewi mkuu kama ndo hivyo kocha bora angestahili kuwa juma mwambusi kwa mara nyingine tena maana kaitoa mbeya city mkiani hadi nafasi ya nne pia amedumu na timu toka mwanzo wa lig mpaka mwisho ila sio huyo aliyetangazwa
 
unategemea soka lipande wakati wachezaji zero vichwani

mtu anavyofeli masomo ndo anavyofeli kwenye soka la kisasa. linahitaji potential brain
 
Hahahaaaa hiio ndo Bongo Tz...

Ajabu lingine la Dunia ni kwamba Kocha bora wa mwaka anapewa ALIEINUSURU TIMU KUSHUKA DARAJA NA SIO ALIEIPA TIMU UBINGWA hahahahaha
Soka la bongo bhana.....uchuroo mtupu!!!
Inawezekana kocha aliyechukua ubingwa hakuwa na ufundi wowote zaidi ya kutegemea vipaji vya mchezaji mmoja mmoja kama vile mbio, kurusha mipira mirefu golini na kuvizia kufunga mabao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…