makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
ila jamaa katoka kinamna yake ase. Kama ilivyo kuwa kwa kanyaboya na Kilaza.Mandonga kama Mandonga
Kila mtu ana namna ya kutoka wakati ukifika..........
Kwanza hata pambano lenyewe nadhani huyo Mandonga ndio kalifanya kuwa maarufu hata kabla halijafanyika. Sifuatiliagi boxing ila niliona video nyingi sana za Mandonga kabla ya pambanoMandonga anajitambua pia ana meneja mahiri anayejiongeza.
Amebadilisha scenario ya boxing kwa namna alivyojiongeza kabla na baada ya pambano lao. Fuatilia trends za Mandonga kabla ya pambano na soon baada ya kuchezea kichapo utagundua kwamba alionesha kutojali matokeo kama mkwamo bali aligeuza fursa na akaonekana kwenye mizania ya matangazo akaanza kutumika.
Kaoneka alipaswa kuwa na meneja mahiri lakini kwa sasa anahitaji daktari wa saiklojia asije akaua mtu
Hlf kama kapata umaarufu ghafla na amekubalika Sana Tu......binafsi namkubali Sana....ila jamaa katoka kinamna yake ase. Kama ilivyo kuwa kwa kanyaboya na Kilaza.
Ninapenda pambano lijalo apoteze tena ili umma tufurahi....na ndiyo raha na uzuri wa Mandonga ni hapo kwenye kupoteza mapambanoAlafu Mandonga ataendelea kuwa tajiri kila akipoteza pambano. Huyu jamaa anatengeneza pesa kinyume nyume
Hlf kama kapata umaarufu ghafla na amekubalika Sana Tu......binafsi namkubali Sana....
Ndo unaambiwa akikupa mungu hakuna WA kuzuia....na Kila kitu huja Kwa Wakati wake
Hakika vijana tuna la kujifunza kupitia yeye.Mandonga mtu kazi mtu aliyetoboa kwa kufeli
Daah ndo hivyo mkuuMaisha kitu cha ajabu ajabu hv