patty,unakoment kwa jazba tena kipumbavu, kama wewe ni mwana UDOM na huhusiki katika kumchukulia rais fomu za kugombea urais ni kwanini wakati huo hamkukanusha kuwa udom haihusiki? Leo ndo unajifanya kuiondoa udom kwenye saga. For u r info huyo mpare munamuandama bure, chuo chenu hakijaletewa fedha kwa kuwa fedha nyingi zimetumika kwenye uchaguzi na serikali haina hela, ukweli ni kuwa hizo tume zilizoundwa ni delaying tactic huku govt ikitafuta fedha. Huyo DVC-admn and finance hamuwezi kumuondoa kamwe kwa kuwa kwa sasa hana kosa wala kauli. Fumbueni macho muone ukweli na muache utoto kwani wanafunzi na walimu wa UDOM wote bado mna uelewa mdogo wa issues.