GE2025 Shabani Mrutu aibuka kidedea katika kura za maoni CCM kwa nafasi ya ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini

GE2025 Shabani Mrutu aibuka kidedea katika kura za maoni CCM kwa nafasi ya ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Shabani Mrutu ameibuka kidedea katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini baada ya kuzoa kura 6,612 na kuwaacha mbali wapinzani wake watano waliokuwa wakisaka tiketi ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Matokeo hayo yametangazwa Agosti 4, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Tabora, Daniel Mhina, ambaye amebainisha kuwa jumla ya kura zilizopigwa katika zoezi hilo ni 7,882 huku kura halali zikiwa 7,763 na 119 zikiharibika.
 
Nasikia jamaa ana ukwasi sana huko kwao
 
Back
Top Bottom