Shabby online company Namba zenu za simu za Ofisi hazipatikani

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
618
Reaction score
1,442
Namba zenu za simu za Ofisi mlizoweka katika tovuti yenu ya zilizopo katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Dsm, Mbeya, Morogoro, pamoja na Dodoma hazipatikani. Ukipiga unaambiwa zinatumika, iwe asubuhi, mchana, au hata usiku wa manane. Hii ni zaidi ya Kero.😡😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…