Umesahau na nguvu za gizaStori za wenye fedha wanakwambia siri ni kufanya kazi kwa bidii wakati ni wapigaji wa madili ya meno ya tembo, wezi wa mali za uma, wazee wa madawa ya kulevya na mfanano wake
Ila kwenye media, walifanya kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu ya fedha.
Hivi anadhani yeye pekee ndo alijihusisha na biashara ndogondogo na kilimo wakati huo?Mfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.
Shabiby amesema wakati anasoma alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Shabiby ameongeza kuwa Watu wengi wamekuwa wakidhani mafanikio aliyoyapata yametokana na kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri na kurithi mali jambo ambalo amesema sio la kweli bali siri ni kufanya kazi kwa kujituma na kwa bidii bila kukata tamaa.
Who can trust this little lie tale.Mfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.
Shabiby amesema wakati anasoma alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Shabiby ameongeza kuwa Watu wengi wamekuwa wakidhani mafanikio aliyoyapata yametokana na kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri na kurithi mali jambo ambalo amesema sio la kweli bali siri ni kufanya kazi kwa kujituma na kwa bidii bila kukata tamaa.
Lengo lake kwa usemi huu lilikuwa ni kuwapa vijana ujasiri wa kutokata tamaa lakini ni muongo kwa 100.Miongoni mwa watu ambao ni waongo sana ni Wanasiasa na Matajiri
Dawa ni katiba mpyaa tu ππWabeba mizigo kila siku wanafanya kazi kwa bidii lakini maisha yao hayabadiliki
Vitu vingine hubaki sirini; ingekuwa ni bidii tu kila mmoja angefanikiwaMshindi ndio huandika historia
Huyu anaingia kotekoteMiongoni mwa watu ambao ni waongo sana ni Wanasiasa na Matajiri
Askofu hakika huu ni muujiza.Miaka 19 unamiliki pesa za kununua basi π€π€ muujiza huu πΆπΆπΆπΆ
Huwa sielewi mtu akisema mafanikio yakeMfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.