GE2025 Shabiby kutoa mikopo ya Pikipiki isiyokuwa na riba huko Gairo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo.

Shabiby amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni wa Jimbo hilo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza ataleta pikipiki elfu tatu ambazo zitatumika katika kubebea mazao ya wakulima.

Aidha Shabiby ameeleza namna ambavyo amefanya jitihada za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanainuka kiuchumi ambapo tayari ameshagawa mashine za umwagiliaji 362 kwa wananchi wa Gairo.
 
Gairo ina ardhi safi na kubwa sana kwa kilimo.
Pikipiki kweli ndio hitaji la Wanagairo kujikwamua kiuchumi!!?
 
Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo.

Shabiby amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni wa Jimbo hilo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza ataleta pikipiki elfu tatu ambazo zitatumika katika kubebea mazao ya wakulima.

Aidha Shabiby ameeleza namna ambavyo amefanya jitihada za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanainuka kiuchumi ambapo tayari ameshagawa mashine za umwagiliaji 362 kwa wananchi wa Gairo.
HUu msimu inaonekana Takukuru huwa wapo likizo maana rushwa zinatolewa nje nje.
 
Kwani sasa hivi huyo Shabiby ni nani, sio mbunge!??
Wajinga ndio waliwao 😂

Katika hesabu zake lazima aweke cha juu, pikipiki elfu 3, china atanunua kwa milioni milioni huko, kisha huku anakuja kukopesha kwa milioni 2.5 hapo lazima apige pesa.
 
Hana hasara ata akigawa bure. Sunlong moja Mil 150+ zile Yutong D14 sijui kama hazifiki Mil 300+, hafu mtu anazaidi ya mabasi 200.
 
Mimi ningetoa mwenge wa uhuru bure kwa kila mtanganyika.
 
Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo.

Shabiby amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni wa Jimbo hilo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza ataleta pikipiki elfu tatu ambazo zitatumika katika kubebea mazao ya wakulima.

Aidha Shabiby ameeleza namna ambavyo amefanya jitihada za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanainuka kiuchumi ambapo tayari ameshagawa mashine za umwagiliaji 362 kwa wananchi wa Gairo.
Kuna tofauti gani kati ya kuwa
mbunge sasa hivi na baada ya 29/10/25. Kwanini asitoe sasa? Vipi kama akikosa ubunge, hatoi?
 
Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo.

Shabiby amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni wa Jimbo hilo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza ataleta pikipiki elfu tatu ambazo zitatumika katika kubebea mazao ya wakulima.

Aidha Shabiby ameeleza namna ambavyo amefanya jitihada za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanainuka kiuchumi ambapo tayari ameshagawa mashine za umwagiliaji 362 kwa wananchi wa Gairo.

RUSHWA hiyo.....!!

Wanamtandao wako kazini.
 
Upumbavu mtupu. Ni sehemu gani ya sheria au majukumu ya mbunge kuwakopesha wanainchi?
 
Back
Top Bottom