Gairo ina ardhi safi na kubwa sana kwa kilimo.Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo.
Shabiby amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni wa Jimbo hilo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza ataleta pikipiki elfu tatu ambazo zitatumika katika kubebea mazao ya wakulima.
Aidha Shabiby ameeleza namna ambavyo amefanya jitihada za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanainuka kiuchumi ambapo tayari ameshagawa mashine za umwagiliaji 362 kwa wananchi wa Gairo.
HUu msimu inaonekana Takukuru huwa wapo likizo maana rushwa zinatolewa nje nje.Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo.
Shabiby amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni wa Jimbo hilo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza ataleta pikipiki elfu tatu ambazo zitatumika katika kubebea mazao ya wakulima.
Aidha Shabiby ameeleza namna ambavyo amefanya jitihada za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanainuka kiuchumi ambapo tayari ameshagawa mashine za umwagiliaji 362 kwa wananchi wa Gairo.
muone nini? kuwa serious siku moja moja,
Hapa unauliza swali ili kujua mchango wa Shabiby kwa wana Gairo.Hivi huyu ana mchango gani kwa wana Gairo?
Kuna tofauti gani kati ya kuwaMgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo.
Shabiby amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni wa Jimbo hilo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza ataleta pikipiki elfu tatu ambazo zitatumika katika kubebea mazao ya wakulima.
Aidha Shabiby ameeleza namna ambavyo amefanya jitihada za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanainuka kiuchumi ambapo tayari ameshagawa mashine za umwagiliaji 362 kwa wananchi wa Gairo.
Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo.
Shabiby amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni wa Jimbo hilo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza ataleta pikipiki elfu tatu ambazo zitatumika katika kubebea mazao ya wakulima.
Aidha Shabiby ameeleza namna ambavyo amefanya jitihada za kuhakikisha wananchi wa jimbo hilo wanainuka kiuchumi ambapo tayari ameshagawa mashine za umwagiliaji 362 kwa wananchi wa Gairo.
Na kwanini asiwape sasa hivi mpaka wamchague Je asipotimiza anashitakiwa wapi?Upumbavu mtupu. Ni sehemu gani ya sheria au majukumu ya mbunge kuwakopesha wanainchi?