Shabiki alietoka Kigoma kwa mguu

[emoji28][emoji28] uyu bwana itabidi tumchangie jamani
 
Huwezi kuwa siriaz na kazi za kufanya kukuingiza kipato ukafanya upuuzi kama huyo mkimbizi
 
[emoji28][emoji28] uyu bwana itabidi tumchangie jamani
Kuna wazee wa fursa kule fb waliweka namba ya kutuma pesa na watu wakaanza kutuma mizigo,kuja kushtuka namba haipatikani na mizigo iliyotumwa ishatolewa.
Bongo kuna watu wanaelimu pana ya upigaji.
 
Dah jamani watu awaogopi dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…