Kajiamini mbele ya jiwe ndio utajua kwanini jiwe linaweza kusaga mahindi mpk Unga wa ugali ukapatikana.hahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa
jiwe lenyewe limelainika kwa mama madin unadhani mchezoKajiamini mbele ya jiwe ndio utajua kwanini jiwe linaweza kusaga mahindi mpk Unga wa ugali ukapatikana.
hahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa[/QUOTE]
Kweli tunaweza ila kwenye kurusha maneno na si kutafuta pesa
Usikute sio mo aliyeandika utakuta ni MTU mwingine kabisa aliyemwajir kwa ajili ya mipasho na analipwa 4M hapo ndipo uamini dunia sio sawahahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa
Asante nshapoa!!Pole mo
Wewe sio shabiki wa Simba acha kuongopa.Halafu Simba pia sio wa kumcheka sana Yanga kwa lolote, mimi nimezaliwa shabiki wa Simba lakini there is hardly much to be proud of.
Mo Dewji ni kiongozi mkubwa wa mpira Tanzania, nilidhani angeelewa Yanga kufungwa 4 ni image mbaya kwa soka la Tanzania kwa ujumla, dunia haijui cha Yanga na Simba. Isitoshe Simba most likely nayo ingepigwa hivyo hivyo na hao waarabu. Shabiki yeyote yule usingependa timu kubwa ya nchi kwenda nje kurepiwa namna ile.
Au kama hili suala jipya la Yanga kutangaza kufulia kifedha na kuomba waonewe huruma makato ya TFF, kwani Simba ina financial system gani iliyo na msingi bora kuliko Yanga, kuishi kwa kufadhiliwa na wao kina Mo Dewji?
Simba haina uwanja haina self sustenance haina lolote, kijengo chake chini kime line up vi fremu vya kuuza itel na bontel ndio assets hizo?
MO Dewji tuambie, Simba as a body corporate, is it profitable? By how much annualy?
funga domo lako wewe,acha tusheherekee ubingwa.Halafu Simba pia sio wa kumcheka sana Yanga kwa lolote, mimi nimezaliwa shabiki wa Simba lakini there is hardly much to be proud of.
Mo Dewji ni kiongozi mkubwa wa mpira Tanzania, nilidhani angeelewa Yanga kufungwa 4 ni image mbaya kwa soka la Tanzania kwa ujumla, dunia haijui cha Yanga na Simba. Isitoshe Simba most likely nayo ingepigwa hivyo hivyo na hao waarabu. Shabiki yeyote yule usingependa timu kubwa ya nchi kwenda nje kurepiwa namna ile.
Au kama hili suala jipya la Yanga kutangaza kufulia kifedha na kuomba waonewe huruma makato ya TFF, kwani Simba ina financial system gani iliyo na msingi bora kuliko Yanga, kuishi kwa kufadhiliwa na wao kina Mo Dewji?
Simba haina uwanja haina self sustenance haina lolote, kijengo chake chini kime line up vi fremu vya kuuza itel na bontel ndio assets hizo?
MO Dewji tuambie, Simba as a body corporate, is it profitable? By how much annualy?
Mo ni muungwana maana kaona asipigizane kelele na mjinga asiyejua maana ya ushabiki.
Hizo taarabu amwachie Haji Manara. Mmiliki au CEO wa timu, that is too low.Watanzania wana stress ukijichanganya wanakutolea stress zao
Sijaona kosa la Mo ,huyo mzee baba akapambane na hali yake
Manji alishahi sema, ana uwezo wa kuwanunua wachezaji, wote wa Simba, alafu wakacheze ufukweni, Ila Mashaiki wa Simba walimvumilia, ila Yanga wakitaniwa, kama uko karibu nao, hata ngumi utatandikwa.Mo amekuwa mswazi, yani huwezi sema ni tajiri.
Mo kama Diamond.
Sijui bongo katuloga nani, mtu anashindwa kulinda status yake.
Haya mambo angeachia mashabiki, atajenga chuki bure na watu kuchukia bidhaa zake.
Poor Dewji
Wote hao ni natajiri uchwara wasioweza linda status zaoManji alishahi sema, ana uwezo wa kuwanunua wachezaji, wote wa Simba, alafu wakacheze ufukweni, Ila Mashaiki wa Simba walimvumilia, ila Yanga wakitaniwa, kama uko karibu nao, hata ngumi utatandikwa.
Juzi anaijiita mwenyekiti wa matawi ya Yanga, Bakiri Makele, akilalamikia kitendo cha, Wabunge wa Simba, Kuwatania, baada ya kula 4G, eti wao wanawakilisha Taifa, tusiwatanie, Leo wamesahau maneno ya Mkemi, kila Club ipambane na hali yake.
Sasa Watu wakipambana mnakasilika.
Relax brotherHalafu Simba pia sio wa kumcheka sana Yanga kwa lolote, mimi nimezaliwa shabiki wa Simba lakini there is hardly much to be proud of.
Mo Dewji ni kiongozi mkubwa wa mpira Tanzania, nilidhani angeelewa Yanga kufungwa 4 ni image mbaya kwa soka la Tanzania kwa ujumla, dunia haijui cha Yanga na Simba. Isitoshe Simba most likely nayo ingepigwa hivyo hivyo na hao waarabu. Shabiki yeyote yule usingependa timu kubwa ya nchi kwenda nje kurepiwa namna ile.
Au kama hili suala jipya la Yanga kutangaza kufulia kifedha na kuomba waonewe huruma makato ya TFF, kwani Simba ina financial system gani iliyo na msingi bora kuliko Yanga, kuishi kwa kufadhiliwa na wao kina Mo Dewji?
Simba haina uwanja haina self sustenance haina lolote, kijengo chake chini kime line up vi fremu vya kuuza itel na bontel ndio assets hizo?
MO Dewji tuambie, Simba as a body corporate, is it profitable? By how much annualy?
Watanzania wana stress ukijichanganya wanakutolea stress zao