Shabiki amtolea povu Mo Dewji

Shabiki amtolea povu Mo Dewji

Najua watu wa simba mtasema jamaa alipanick ila akicho fanya Mo tunakiita pettyness its above his level.
Mmiliki wa tim kazo yako siyo ku torll wapinzani hiyo kazi unaachia kina Manara tu
 
hahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa
Kajiamini mbele ya jiwe ndio utajua kwanini jiwe linaweza kusaga mahindi mpk Unga wa ugali ukapatikana.
 
Yanga kiumeni..Simba kikeni..Tajiri analopokaa ..Yusufu kapiga three years straight hakuna mipasho..nimeamini Mbumbumbu FC underdogs kama Leicester city
 
hahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa
Usikute sio mo aliyeandika utakuta ni MTU mwingine kabisa aliyemwajir kwa ajili ya mipasho na analipwa 4M hapo ndipo uamini dunia sio sawa
 
Halafu Simba pia sio wa kumcheka sana Yanga kwa lolote, mimi nimezaliwa shabiki wa Simba lakini there is hardly much to be proud of.

Mo Dewji ni kiongozi mkubwa wa mpira Tanzania, nilidhani angeelewa Yanga kufungwa 4 ni image mbaya kwa soka la Tanzania kwa ujumla, dunia haijui cha Yanga na Simba. Isitoshe Simba most likely nayo ingepigwa hivyo hivyo na hao waarabu. Shabiki yeyote yule usingependa timu kubwa ya nchi kwenda nje kurepiwa namna ile.

Au kama ni hili suala jipya la Yanga kutangaza kufulia kifedha na kuomba waonewe huruma makato ya TFF, kwani Simba ina financial system gani iliyo na msingi bora kuliko Yanga, kuishi kwa kufadhiliwa na wao kina Mo Dewji?

Simba haina uwanja haina self sustenance haina lolote, kijengo chake chini kime line up vi fremu vya kuuza itel na bontel, ndio assets!

MO Dewji tuambie, Simba as a body corporate, is it profitable? By how much annualy?
 
Halafu Simba pia sio wa kumcheka sana Yanga kwa lolote, mimi nimezaliwa shabiki wa Simba lakini there is hardly much to be proud of.

Mo Dewji ni kiongozi mkubwa wa mpira Tanzania, nilidhani angeelewa Yanga kufungwa 4 ni image mbaya kwa soka la Tanzania kwa ujumla, dunia haijui cha Yanga na Simba. Isitoshe Simba most likely nayo ingepigwa hivyo hivyo na hao waarabu. Shabiki yeyote yule usingependa timu kubwa ya nchi kwenda nje kurepiwa namna ile.

Au kama hili suala jipya la Yanga kutangaza kufulia kifedha na kuomba waonewe huruma makato ya TFF, kwani Simba ina financial system gani iliyo na msingi bora kuliko Yanga, kuishi kwa kufadhiliwa na wao kina Mo Dewji?

Simba haina uwanja haina self sustenance haina lolote, kijengo chake chini kime line up vi fremu vya kuuza itel na bontel ndio assets hizo?

Wewe sio shabiki wa Simba acha kuongopa.
 
Huwezi kumsikia yule sheikh wa mancity akipita kutambatamba ovyo!
 
Halafu Simba pia sio wa kumcheka sana Yanga kwa lolote, mimi nimezaliwa shabiki wa Simba lakini there is hardly much to be proud of.

Mo Dewji ni kiongozi mkubwa wa mpira Tanzania, nilidhani angeelewa Yanga kufungwa 4 ni image mbaya kwa soka la Tanzania kwa ujumla, dunia haijui cha Yanga na Simba. Isitoshe Simba most likely nayo ingepigwa hivyo hivyo na hao waarabu. Shabiki yeyote yule usingependa timu kubwa ya nchi kwenda nje kurepiwa namna ile.

Au kama hili suala jipya la Yanga kutangaza kufulia kifedha na kuomba waonewe huruma makato ya TFF, kwani Simba ina financial system gani iliyo na msingi bora kuliko Yanga, kuishi kwa kufadhiliwa na wao kina Mo Dewji?

Simba haina uwanja haina self sustenance haina lolote, kijengo chake chini kime line up vi fremu vya kuuza itel na bontel ndio assets hizo?

MO Dewji tuambie, Simba as a body corporate, is it profitable? By how much annualy?
funga domo lako wewe,acha tusheherekee ubingwa.
huo uwanja wewe unao
 
Kweli MO kakosea ni sawa na melo kujibizana na members humu lazima ataonekana kituko
 
Watanzania wana stress ukijichanganya wanakutolea stress zao

Sijaona kosa la Mo ,huyo mzee baba akapambane na hali yake
Hizo taarabu amwachie Haji Manara. Mmiliki au CEO wa timu, that is too low.
 
Mo amekuwa mswazi, yani huwezi sema ni tajiri.
Mo kama Diamond.

Sijui bongo katuloga nani, mtu anashindwa kulinda status yake.

Haya mambo angeachia mashabiki, atajenga chuki bure na watu kuchukia bidhaa zake.

Poor Dewji
Manji alishahi sema, ana uwezo wa kuwanunua wachezaji, wote wa Simba, alafu wakacheze ufukweni, Ila Mashaiki wa Simba walimvumilia, ila Yanga wakitaniwa, kama uko karibu nao, hata ngumi utatandikwa.
Juzi anaijiita mwenyekiti wa matawi ya Yanga, Bakiri Makele, akilalamikia kitendo cha, Wabunge wa Simba, Kuwatania, baada ya kula 4G, eti wao wanawakilisha Taifa, tusiwatanie, Leo wamesahau maneno ya Mkemi, kila Club ipambane na hali yake.
Sasa Watu wakipambana mnakasilika.
 
Wote hao ni natajiri uchwara wasioweza linda status zao
 
Halafu Simba pia sio wa kumcheka sana Yanga kwa lolote, mimi nimezaliwa shabiki wa Simba lakini there is hardly much to be proud of.

Mo Dewji ni kiongozi mkubwa wa mpira Tanzania, nilidhani angeelewa Yanga kufungwa 4 ni image mbaya kwa soka la Tanzania kwa ujumla, dunia haijui cha Yanga na Simba. Isitoshe Simba most likely nayo ingepigwa hivyo hivyo na hao waarabu. Shabiki yeyote yule usingependa timu kubwa ya nchi kwenda nje kurepiwa namna ile.

Au kama hili suala jipya la Yanga kutangaza kufulia kifedha na kuomba waonewe huruma makato ya TFF, kwani Simba ina financial system gani iliyo na msingi bora kuliko Yanga, kuishi kwa kufadhiliwa na wao kina Mo Dewji?

Simba haina uwanja haina self sustenance haina lolote, kijengo chake chini kime line up vi fremu vya kuuza itel na bontel ndio assets hizo?

MO Dewji tuambie, Simba as a body corporate, is it profitable? By how much annualy?
Relax brother
 
Watanzania wana stress ukijichanganya wanakutolea stress zao

Sijaona kosa la Mo ,huyo mzee baba akapambane na hali yake

Hiyo kweli ameweka Mo Dewaji????!!!!! I doubt it...ila kama ni yeye, tangu leo naondoa heshima zangu kwake..nilikuwa namheshimu sana kuwa ni briliant and inteligent young guy...
 
Back
Top Bottom